M4C-OPD: CHADEMA Yafanya mikutano 87 mikoani ndani ya wiki moja

Inafurahisha kuona hamjakata tamaa, chadema is a dying creature lazima kitapetape NCCR sasa inakuja na itakuwa live. Tayari NCCR inajiandaa kuwa chama kikuu cha upinzani

sixgates, hivi sio wewe week iliyopita uliwauliza NCCR wanashughulika na nini kana kwamba ulikuwa huwafahamu sasa leo unawasifia?!
 
Inafurahisha kuona hamjakata tamaa, chadema is a dying creature lazima kitapetape NCCR sasa inakuja na itakuwa live. Tayari NCCR inajiandaa kuwa chama kikuu cha upinzani

NCCR inakua wapi wakati wewe kazi yako kubwa ni kuhakikisha vyama vya upinzani vinakufa?!!
au umemshindwa Mbatia???? vijana wa KG bana!!!!
 
kwani hao ulionqo CHADEMA watashinda uchaguzi ujao?

Watch out......Chadema is blaizing fire....And the mistake you guys(magamba) are doing is adding petrol to the blaizing fire......Yuo know what will happen....?????? You will be burnt to death...

Whatch out magamba Chadema will burn you to death......

Na hizi ni cheche tuu bado moto....Tutawashindilia mipini mpaka mshangae.....
 
Hyo mikutano 87 ni ya kuhubiri siasa,chuki,na majungu,hv kama rasilimali zilizotumika kuandaa hyo mikutano wangefanyia mambo ya maendeleo kama kujenga shule na zahanati nani angewanyima kura?

Kwenye Mikutano Wananchi wameambiwa Rais J.K.ambaye ni Mwenyekiti wa CCM kawaachia WEZI wa EPA akiwemo Somaia(aliyeiba zaidi ya Tshs.Bilioni Mbili) huku walioiba kuku wakiendelea kusota Gerezani.Mimi nafikiri hii ni Elimu Nzuri ya kila Mtu kuijua ili baadaye ajue umuhimu wa kutochagua tena Serikali ya CCM.
 
Inafurahisha kuona hamjakata tamaa, chadema is a dying creature lazima kitapetape NCCR sasa inakuja na itakuwa live. Tayari NCCR inajiandaa kuwa chama kikuu cha upinzani

Dah! natamani ningekua Mdunguaji..................!!!
 
Imeshika nchi kivipi kuzunguka na Chopa ndiyo kushika nchi, mikutano ya Chadema haina tofauti na fiesta watu wanakuja kuangalia Chopa.
 
Inafurahisha kuona hamjakata tamaa, chadema is a dying creature lazima kitapetape NCCR sasa inakuja na itakuwa live. Tayari NCCR inajiandaa kuwa chama kikuu cha upinzani

Umekuwa hueleweki mbele nyuma, nyuma mbele ngoja tukusemelee kwa Mbatia akutimue kabisa.
 
Inafurahisha kuona hamjakata tamaa, chadema is a dying creature lazima kitapetape NCCR sasa inakuja na itakuwa live. Tayari NCCR inajiandaa kuwa chama kikuu cha upinzani
Sawa kabisa waulize marehemu kama wanapokufa wanawaonaje walio hai?
 
Ngoja niwape mfano mdogo

BIBI"53aged"-ccm kaolewa na KIJANA"21aged"Chadema

Maisha yao ya ndoa
Usiku wa kwanza-bao12
Usiku wa pili -bao12
Usiku wa tatu -bao12
Usiku wa nne -bao12
usiku wa tano -bao12
usiku wa sita -bao13
usiku wa jana -bao14

Mpaka sasa kijana huyu rijali na shupavu ameshamshuulikia kibibi chake zaidi ya mara 87 ndani ya wiki moja.

Yani jinsi siku zinavyoenda kijana ndo anazidi kumshuulikia kibibi chake kwa moto mkali zaidi!
Je! wakuu hii ni haki?
 
Inafurahisha kuona hamjakata tamaa, chadema is a dying creature lazima kitapetape NCCR sasa inakuja na itakuwa live. Tayari NCCR inajiandaa kuwa chama kikuu cha upinzani
sixgate bwana karibu sasa utavaa chupi kichwani. mlifokiri mtaweza kuisambaratisha chadema kirahisi hivo?ukotaka kusambaratisha chadema farakanisha mwenyekiti na katibu kwa sababu wao ndio roho ya chama. bahati mbaya mbowe na slaa hawaingiliki.
 
Inafurahisha kuona hamjakata tamaa, chadema is a dying creature lazima kitapetape NCCR sasa inakuja na itakuwa live. Tayari NCCR inajiandaa kuwa chama kikuu cha upinzani

Soma alama ya nyakati ndondocha mweusi wee!
CHADEMA MWENDO MDUNDO!
 
Kwa maana hiyo ccm mmekata tamaa kuwa chama kikuu cha upinzani?
 
Ngoja niwape mfano mdogo

BIBI"53age"-ccm kaolewa na KIJANA"21age"Chadema

Maisha yao ya ndoa
Usiku wa kwanza-bao12
Usiku wa pili -bao12
Usiku wa tatu -bao12
Usiku wa nne -bao12
usiku wa tano -bao12
usiku wa sita -bao13
usiku wa jana -bao14

Mpaka sasa kijana huyu rijali na shupavu ameshamshuulikia kibibi chake zaidi ya mara 87 ndani ya wiki moja.

Yani jinsi siku zinavyoenda kijana ndo anazidi kumshuulikia kibibi chake kwa moto mkali zaidi!
Je! wakuu hii ni haki?
Bavicha ni janga la taifa.
 
Hyo mikutano 87 ni ya kuhubiri siasa,chuki,na majungu,hv kama rasilimali zilizotumika kuandaa hyo mikutano wangefanyia mambo ya maendeleo kama kujenga shule na zahanati nani angewanyima kura?

Hayo ya zahanati na shule
ni jukumu la ccm na serikali yake,kwani kodi zetu tunapeleka chadema?
 
Bavicha ni janga la taifa.

Hizi akili za kukaririshwa zinaicost sana nchi!

Toka baba wa Taifa afariki dunia ccm hakuna jipya tena, maana maneno yao ni yaleyale,Sera zao ni zile zile,ila kwenye uwizi ndo wanabadilika na kuja na mbinu mpya kila siku.
 
Back
Top Bottom