M4C Mwendo Mdundo!!!

M4C Mwendo Mdundo!!!

Eng Kimox Kimokole

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2010
Posts
1,041
Reaction score
772
Kamata kitu cha M4C

attachment.php

attachment.php


Vyombo vishakamilika kufungwa tayari kwa kazi

View attachment 81713

View attachment 81800

Kitaeleweka tu, Mwanzo Mwisho
 

Attachments

  • M4C tukutuku.jpg
    M4C tukutuku.jpg
    58.1 KB · Views: 2,755
  • M4C tukutuku1.jpg
    M4C tukutuku1.jpg
    69.1 KB · Views: 2,768
Ebwanaeee!!wamekunya magamba!!!hakika kila mtu ataamka!!!Tusonge mbele makamanda wote,peopleeeeees!!!
 
:majani7::majani7::majani7:CCM puresha inapanda inashuka!!:majani7::majani7::majani7:

Nimefurahi sana kuona hii, sasa mapambano ndio yanaanza kwa awamu nyingine.

Nawaonea huruma magamba kwa jinsi tutakavyo washughulikia huko site, hakuna rangi wataacha kuiona.
 
Ebwanaeee!!wamekunya magamba!!!hakika kila mtu ataamka!!!Tusonge mbele makamanda wote,peopleeeeees!!!

Acheni kushabikia hata vitu ambavyo sivyo, sasa watawapa akina nani? Uharibifu tu wa ruzuku!
 
Nawaomba chadema waziwekee namba maalumu ili mwigulu na Nape na Babu yao Jangili wa Tembo wetu wasije wakakodi bodaboda wakawapeleka kwenye matukio ya wizi then waandike maneno CHADEMA kwenye pikipiki zitakazokamatwa kwenye matukio ya ujambazi waseme Chadema majambazi...Maana wameishiwa mbinu kwelikweli
 
Ajenda kuu kwa M4C kwa sasa iwe ni kuwauzia wananchi undani wa sera kuu ya CHADEMA ya majimbo na jinsi ambavyo itakavyochangia kulinda maslahi ya wananchi wa kawaida katika eneo husika kwa njia shirikishi zaidi bila ya kuporwa vya 'Ku-Mtwara' kuhamishiwa 'Ku-Bagamoyo kivile.
 
nimefurahi sana.hii ni mbinu moja kali sana ya kisayansi kuitangaza chama mpaka kijijini sehemu ambayo ilikuwa si rahisi M4C Kufika lakini hapo mambo yatakuwa biyeee!!...
 
Acheni kushabikia hata vitu ambavyo sivyo, sasa watawapa akina nani? Uharibifu tu wa ruzuku!

Wacha kubadili upepo wewe! tuache tujipongeze na tufurahie maendeleo na mafanikio yetu,

Tena ningependa huu pia uwe mradi, kwamba kama ilivyo kwa tshirt na kofia kuuzwa, vyivyo hivyo na pikipiki hizi ziwe zinauzwa kwa wananchi kwa matumizi ya bodaboda au usafiri tu wa kawaida wa mtu binafsi, hii itasaidia kukiongezea chama mapato.

Na kama hili likikubalika msiache kufungua duka Moshi, Hakya Mungu zitanunuliwa kama njugu.
 
du hiyo ni noma, nimeipenda sana, kweli CDM ni kiongozi wa yote, Masalia waliokuwa wnapiga kelele kuwa hela zinatumika hovyo aibu yao hiyo, Mwapamba na juliana mlikwii???
 
du hiyo ni noma, nimeipenda sana, kweli CDM ni kiongozi wa yote, Masalia waliokuwa wnapiga kelele kuwa hela zinatumika hovyo aibu yao hiyo, Mwapamba na juliana mlikwii???

Mbona siwaoni wa Lumumba hapa?
 
Hii ni Baaab kubwa!
Acha Gambaz watengeneze zile raba na yeboyebo!

ccm2.jpg
CCM-bendera.jpg
AQ%5B1%5D.+1.jpg
 
sehemu nyingi Tanzania magari hayafiki so hii ni njia moja wapo ya kumfikia kila raia. mia
 
Acheni kushabikia hata vitu ambavyo sivyo, sasa watawapa akina nani? Uharibifu tu wa ruzuku!

Watatupa sisi,ni heri kuharibu ruzuku kwa kununua vitu vinavyoonekana navyenye kuleta ukombozi kwa faidaya wote kuliko kuficha pesazetu nje,kupeleka twiga wetu nje,kuuwa nakuwang'oa meno tembowetu nakuuza kwa faidayenu wachache na pia kuficha mikataba ya madini tusiione kwa ubinafisi wenu wachache!
 
Back
Top Bottom