M4C msisahau kupita kwa wafuatao...

M4C msisahau kupita kwa wafuatao...

CHEMPO

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2011
Posts
368
Reaction score
60
Chadema bunge limeisha sasa,,majembe yetu mlioko bungeni tunawategemea kujiunga na jeshi la m4c...2015 tunayahitaji majimo yanayoongozwa na:
1.kayanza Pinda
2.Lukuvi.
3Wasira
4.Anne Makinda
5.Lusinde
6.Nchemba
7.na mengine mengi
napendekeza zile pickup zikaanze kufanya kazi huko
 
Nadhani kwa huyu Lukuvi ndio pa msingi sana, anatakiwa kupigwa nje anavuruga bunge.
 
Jimbo la kwimba
jimbo sengerema,
chato
magu
bunda


T 2015 IKULU
 
Kyela kwa mwakyembe, na rungwe kwa mwandosya na mwakyusa
 
karibuni bunda ila wassira tulisha mung'oa kaamia magogoni
 
kwa pinda tayari kaka, alienda heche na katibu wake deo,, na walishinda wenyevt 6 wa vjj bila pinda kupata k2, na kwa makinda tayar
 
Chadema bunge limeisha sasa,,majembe yetu mlioko bungeni tunawategemea kujiunga na jeshi la m4c...2015 tunayahitaji majimo yanayoongozwa na:
1.kayanza pinda
2.likuvi.
3.mzee wa pori
4.anna5
5.lusinde
6.chemba
7.na mengine mengi
napendekeza zile pickup zikaanze kufanya kazi huko

Karl Max'for social revolution to mature,one must make sacrifice'.I will do 4KALENGA ONCE THE TIME HAS COME.
 
lukuvi ni wale wanaowajulia watanzania... hapa kwetu ukishajifanya una confidence hata kama ni kiazi watu wanaamini una uwezo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom