M4C msisahau kupita kwa wafuatao...

SHINYANGA MJINI kwa masere jamani eti alishinda kwa kura moja.
Tena kule kunahitajika mwamko wa kufa mtu atoke massele,maige aliyedai kaonewa kuvuliwa uwaziri yule mwarabu koko sjui nchambi na sengerema kwa ngeleja!!!
 
Tunaomba M4C ianze na kauli ya Mh.Pinda kuwaelimisha wananchi kuhusu wakuu wa Wilaya na Mikoa kutokuwa na imani nao na kuwakataa kabisa maana wanafanya kazi za CCM na si za serikali kwani hawa ndio hutumiwa hasa vijiji kuisaidia CCM kupata ushindi.

Wadau mnasemaje kwa hili?
 
Chadema bunge limeisha sasa,,majembe yetu mlioko bungeni tunawategemea kujiunga na jeshi la m4c...2015 tunayahitaji majimo yanayoongozwa na:
1.kayanza Pinda
2.Lukuvi.
3Wasira
4.Anne Makinda
5.Lusinde
6.Nchemba
7.na mengine mengi
napendekeza zile pickup zikaanze kufanya kazi huko

Wakati mnahamasisha coverage ya M4C, pia msisahau kuingia kwenye M-PESA zenu na kuchangia kwenye 111333. It only makes sense that way.
 
msisahau kwa maige,rage,lusinde,ngeleja,makinda(bi kirembwe) na lukuv maana utadhan ana hatmilik na bunge kwa kuomba miongozo ya kulinda serikal kwa maov yake.
 
Naona baadhi ya wachangiaji hapa sio wafuatiliaji wa habari za hapa.
Kwa Olesendeka, kwa Nchemba, kwa Pinda, kwa Magufuli, Kwa Wassira, huko kulishapitiwa na kimbunga kiliwasomba ccm na kuwaachia ofisi tu!
 
Yupo DADA rachel mashishanga

Hapana huyu dada bado hawezi kuvaa viatu vya makamanda waliotangulia mbele za haki BOB MAKANI na SHELEMBI tunahitaji mtu SHUPAVU zaidi ya RACHEL MASHISHANGA yupo bungeni ameshindwa kutumia hiyo fursa kuonesha makeke yake kama kina HALIMA MDEE.
 
Back
Top Bottom