Wafuatao hawatakiwi ktk bunge la tanzania 2015 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wafuatao hawatakiwi ktk bunge la tanzania 2015

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by geophysics, Jul 3, 2011.

 1. g

  geophysics JF-Expert Member

  #1
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Orodha itaongezeka au kupungua kadiri taarifa utakazotoa (mchangiaji) na sababu kujadiliwa hadi ifikapo 2015 naamini thread hii itasaidia kujua nani abaki/aondoke na kwanini. Tafadhali katika kuchangia hoja toa sababu mfano: kwa nini Magreth Sitta anastahili kuendelea kuwa bungeni 2015. Hii itasaidia kurekebisha orodha ili tuwe na taarifa za uhakika. Kumbuka hii thread itakuwa endelevu: Wana JF na wabunge hasa mlioingia bungeni awamu hii mwaweza kutusaidia katika kukusanya taarifa hizi.
  Karibu

  WAFUATAO HAWATAKIWI KTK BUNGE LA TANZANIA 2015

  1: Zakhia Memdan Meghji- (Sakata la EPA, uongozi usio na tija katika serikali za awamu zilizopita)
  2: George Mkuchika: (n/a)
  3: Mustapha Mkulo: (Kuendelea kuyumba kwa uchumi na hali ngumu ya maisha kwa watz)
  4: Rita Mlaki: (Tija ndogo katika mabunge yaliyopita, Migogoro ya viwanja katika jimbo Kawe)
  5: Peter Msola: (Kushuka kwa kiwango cha elimu akiwa waziri, tija ndogo katika mabunge yaliyopita)
  6: Mwakyusa David: (Uongozi mbaya katika awamu zilizopita na ubunge)
  7: Mark James Mwandosya: (Tija ndogo katika kazi ya bunge awamu zilizizopita, kuwa katika serikali muda mrefu bila kuonyesha mabadiriko)
  8: Mwanry Aggrey: (Utendaji kazi wake kutegemea walio chini yake zaidi)
  9: Husein Mwinyi: (Tija ndogo katika uongozi wa awamu za nyuma, kushindwa kusimamia jeshi hasa katika suala la milipuko ya mabomu)
  10: Mary Nagu: (Kuharibika kwa soko la bidhaa za Tanzania na viwanda vyake, tija ndogo katika uongozi)
  11: Mizengo Kayanza Pinda: (N/A)
  12: Anne Makinda: (Tija ndogo katika mabunge ya awamu zilizopita na kuwa katika bunge muda mrefu bila kuleta changamoto za maendeleo.)
  13: Magreth Sitta: (Tija ndogo katika kazi ya ubunge na uongozi awamu zilizopita)
  15: Stephen Wassira: (N/A)
  16: Anna Magreth Abdallah: (Bungeni tangu uongozi wa Mwl Nyerere lakini haoneshi tija au changamoto katika bunge)
  17: Andrew Chenge: (Ufisadi/ ubinafsi, mikataba mibovu akiwa waziri, kuyumbisha uchumi wa nchi, sakata la rada (BAE))
  18: John Zephania Chiligati: (Tija ndogo katika uongozi wa awamu zilizopita, kusababisha ongezeko la migogoro ya ardhi akiwa waziri)
  19: Maua Daftari: (Tija ndogo katika bunge na uongozi awamu zilizopita)
  20: Gaudencia Kabaka: (Tija ndogo katika kazi ya ubunge na uongozi awamu zilizopita)
  21: Juma Kapuya: (Tija ndogo katika kazi ya ubunge na uongozi awamu zilizopita)
  23: John Komba: (Ukakamavu mdogo, kulala mara kwa mara bungeni)
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  Husein Mwinyi---next president
   
 3. Mwanakili90

  Mwanakili90 JF-Expert Member

  #3
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,571
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hatuwezi Tawaliwa na familia,DAMU LAZIMA IMWAGIKE.
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Nntondole Murji(Mtwara Mjini)...mtoa rushwa namba 1, ni bubu akiwa bungeni!!...ni RA namba 2
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Jul 3, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  15: Stephen Wassira: (N/A)

  Huyu mzee ndo hafai kabsaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 6. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #6
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  Umemsahau Lowassa na Rostam Aziz
   
 7. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #7
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kama list haina zabein mhita then siikubali
   
 8. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #8
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  zakhia megji,fisadi la kihindi,linalidwa kwa gharama yoyote ile
   
 9. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Wanaoitetea chichiemu f*********ck! coz ur my enemy too.
   
 10. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #10
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,435
  Likes Received: 2,308
  Trophy Points: 280
  Tukiamua kuorodhesha wabunge wabovu tutachoka kuandika na inawezekana kabisa server ya JF ika-crush. Turahisishe kazi kwa kuorodhesha wabunge makini...
   
 11. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #11
  Jul 3, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,127
  Likes Received: 678
  Trophy Points: 280
  na Yule Sharobalo la Kitalii Kikwete pamoja na Mzee wa kulialia bunge na kudanganya
   
 12. g

  geophysics JF-Expert Member

  #12
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Asante kaka ndo kwanza mwanzo kabisa...nakusanya orodha ila toa na sababu kwanini aongezwe au apunguzwe... Ila kinachozingatiwa na wale waliokuwa bungeni kwa awamu zaidi ya moja. Lissu hatuwezi kumhukumu kwa sasa maana bado ni mapema ndo maana utaona katika orodha hakuna mbunge mpya ila tunataka wa muda mrefu wapishe wapya na vijana wafanye kazi.
   
 13. g

  geophysics JF-Expert Member

  #13
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwanini hafai: Nipatie sababu zitafanyiwa kazi.
   
 14. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #14
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Hawa watu wapo bungeni kweli? na kama hawamo nani kasema wanampango wa kugombea Ubunge?

  Watu bariadi wajitokeze waeleze umuhimu wa John Cheyo naona kama hana kazi pale Bungeni na pia wabunge wa Zanzibar wapunguzwe ni wengi sana ukilinganisha na idadi ya watu na ukubwa wa eneo la Zanzibar hayo yote matumizi mabaya ya fedha za serikali
   
 15. Msongoru

  Msongoru JF-Expert Member

  #15
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 16, 2008
  Messages: 306
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  senksi mkuu!
   
 16. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #16
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,611
  Likes Received: 4,719
  Trophy Points: 280
  Stephen Wasira kwa sababu ni mkimbizi toka hifadhi ya Gombe
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Jul 3, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,435
  Likes Received: 19,784
  Trophy Points: 280
  huyu ana akili?
   
 18. g

  geophysics JF-Expert Member

  #18
  Jul 3, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Great Idea... I like this
   
 19. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #19
  Jul 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Hahaaaaaa, si mhindi yule, ni kabila moja na Salim Ahmed Salim. Jina la Meghji ni la mumewe.
   
 20. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #20
  Jul 3, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Shibuda-analeta mashairi bungeni,ni kigeugeu na mchumia tumbo.aliwaponda vijana bila kujua wapiga kura wa 2015 ni vijana.
   
Loading...