M4C: Lema aelekea Ujerumani

Ponda raha mkuu manake hayo matawi yenyewe hayana manufaa zaidi ya kuongeza mzigo wa matumizi kwa chama.Eti go Lema upuuzi mtupu

ukiona adui yako anatapatapa ujue umemshika pabaya, London mmemeongea yote mara waliohudhuria ni wauza unga mara ni watu kumi tena ni waccm waliokuwa wanamsanifu lema..sasa tunaenda ujerumani tafuteni ya kuongea tena lakini mnacho sahau ni kwamba chama hakikurupuki kwenda huko kufungua matawi..je umeiona nyomi ya Ifakara moro jana?
 
tz ina vitanda vingapi huko vijijini? itachukua muda gani kuvifikia vyote? ili upate na muda wa ziada wa kufikia hivyo vya watz wa majua, khalafu nyie mnakuwa wa kwanza kumshambulia kikwete kuwa anatumia raslimali vibaya kwa kusafiri nje ya nchi. hapa tofauti iko wapi sasa. mkishauriwa hamtafakari ubishi ndio silaha yenu.

subiri chopa zije ndiyo utajua tutatumia muda gani kuzifikia vijiji..
 
ukiona adui yako anatapatapa ujue umemshika pabaya, London mmemeongea yote mara waliohudhuria ni wauza unga mara ni watu kumi tena ni waccm waliokuwa wanamsanifu lema..sasa tunaenda ujerumani tafuteni ya kuongea tena lakini mnacho sahau ni kwamba chama hakikurupuki kwenda huko kufungua matawi..je umeiona nyomi ya Ifakara moro jana?
Naona mtahangaika tu, naona mmempa Lema fungu la kutalii ili kupunguza machungu ya kufukuzwa ubunge. Sidhani kama mnategemea chochote kutokana na hiyo ziara yake.

Msitegemee Lema aweze kuwashawishi watu wajiunge au wasaidie CDM kwa njia yoyote. Over all people ndani ya CDM mmeona Lema ndiye anafaa kukiwakilisha chama abroad? Kama yeye ndiye kichwa chenu, basi mjue chama kimeshapoteza mwelekeo na tukiita cha wahuni wala msilalamike.

Kutokana na historia ya Lema, kinachozungumzwa hapa kuwa alioonana nao London ni wauza unga nakubaliana nacho kabisa. Sitegemei kwa njia yoyote Lema aweze kuzungumza na wasomi au watu wenye upeo mkubwa kwenye mambo mbalimbali. Yeye level yake ni hiyo hiyo ya wauza unga na wanaoshinda kwenye mabaa.
 
Kashafungua matawi saba aliyotangaza atafungua Uingereza?
Kashakutana na Meya wa London kama alivyosema?
 
sitakuamini kuwa serikali ya uingereza ni yawapumbavu kama yetu iliyoko chini ya ccm umusema alioneka yko na wauza unga, kifungo chao kiliisha lini maana najua muuza unga anapaswa kuishi wapi au niunga wangano au sembe..harafu hao unaowaponda mbona walikuwa ccm mbona hukusema hayo awali..
 
Mkuu watu waliohudhuria ni Kumi tu tena nane niwakutoka huku kwetu kaskazin hahaha hayo ndio mafanikio?
Mbona hauja sema walikuwa mia na hamsa? tumia busara, wenzako wanajenga chama chao ww unawakejeli, hauwezi kushindana na mafuriko, angalia yatakusomba
 
tz ina vitanda vingapi huko vijijini? itachukua muda gani kuvifikia vyote? ili upate na muda wa ziada wa kufikia hivyo vya watz wa majua, khalafu nyie mnakuwa wa kwanza kumshambulia kikwete kuwa anatumia raslimali vibaya kwa kusafiri nje ya nchi. hapa tofauti iko wapi sasa.mkishauriwa hamtafakari ubishi ndio silaha yenu.

Pure gamba @ work
 
Mnatumia kodi zetu vibaya, badala mfungue matawi vijijini mnakimbilia nchi za nje, hivi kuna manufaa gani huko? Naipenda chadema ila kwa mwendo napata wasiwasi nanyi. Hizo garama anazotumia ni za kwake binafsi au za chama? Si ruzuku hio? Kodi zetu? Upuuzi mtupu makamanda wangu mnaoufanya. Huku serengeti hatuna matawi ya chama, sasa hapo mnajitanua nje huku ndani pamejaa? Watz hebu tuache hizi siasa uchwara!

Uwepo wako wa uelewa ni mdogo sana. Inaongozwa na udini, Kama unakerwa si unywe sumu? Mbona chmq chenu cha magamba huoni kinavyotumia pest zetu Cindy husemi?
 
wakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.

Mkuu, m4c inatwanga kotekote. Jana walikuwa Kilombero na ratiba inaendelea maeneo yote ya vijiji ya Morogoro region!
 
Haa ukweli ccm maji ya shngo. Chama chochote akiwez kujiendesha bila pesa na kuwa na watu wenye mawazo chanya na chadema wanachokifanya n kukutana na watz wanaokaa uko na watu waliko nje wako huru zaid kuliko waliopo hapa nchin
 
wakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.

Mageuzi hayaletwi na maskini sana au matajiri sana.
 
I decide to differ. Binafsi siungi mkono ufunguaji wa matawi nje ya nchi ikiwa sehem nyingi vijijini hazijafikiwa. CDM hadi leo kuna wilaya haijazifikia kama vile lringa vijijini,kilolo,mfindi nk.achilia mbali Kata na vijiji.
Kuna kata nyingi sana Tz hazina hata tawi la chama na hata viongozi wa chama. Ni aibu kwa chama kwani kura nyingi wanazopata CCM zinatoka huko vijijini ambako elimu ya ukombozi haijawafikia.

Tz haina utaratibu wa kupiga kura kwa watu walioko nje ya nchi kwamba CDM inatafuta kura huko nje ya nchi. Sasa badala ya kutafuta kura kwa wananchi badala yake tunapoteza hela nyingi kuzurura ulaya wakati hata mwitikio wa watu kule ni mdogo.

Wakati umefika tuelezane ukweli,sio kila anaekosoa CDM haitakii mema,binafsi inaniuma kuziona harakati kama hizi zenye tija ndogo kipindi hiki mhimu kutafuta kila kura ktk kona zote za nchi.
 
wakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.
Mh. inamaana hujui kuwa CDM wako Kilombero na maeneo mengi ya wilaya na vijijini ama nako huko ni UK/Ujerumani? M4C inatwanga kotekote.
 
nafikiri CCM ndio wanaongoza kuwa na matawi nje ya Tanzania hususan USA na UK tena mengi yalifunguliwa na viongozi wazito sasa hiyo ndio ukisikia 'kunya anye kuku, akinya bata kaharisha'. M4C inaendelea huku TZ (mfano mliwabania Morogoro mjini juzi kati) na pia inapaswa iendelee nje ya mipaka hii yaani Zantel wanaiita 'twanga kote kote'. Kwa vile nyie ni mabingwa wa kuiga haya sasa mtumeni Nape nae apite anapopita Lema
 
ni wachache watakao weza kuielewa siasa inayofanywa na cdm ila taratibu mtaja kuwaelewa tatizo tulizoea siasa ya aina flani ndio maana inatupa tabu kuisoma cdm ila mda ukifika mtajua haaa!kumbe ni hivi.ccm ili itoke madalakani inabidi kuptia vichaka vyake vyote.
 
Mnatumia kodi zetu vibaya, badala mfungue matawi vijijini mnakimbilia nchi za nje, hivi kuna manufaa gani huko? Naipenda chadema ila kwa mwendo napata wasiwasi nanyi. Hizo garama anazotumia ni za kwake binafsi au za chama? Si ruzuku hio? Kodi zetu? Upuuzi mtupu makamanda wangu mnaoufanya. Huku serengeti hatuna matawi ya chama, sasa hapo mnajitanua nje huku ndani pamejaa? Watz hebu tuache hizi siasa uchwara!
Nyie za EPA mywe zote. Chenji ya RADAR mywe yote! hatusemi. Mtajifia na vijiba vya roho!!
Mfalme JETA hashibi!!
 
Back
Top Bottom