Mnatumia kodi zetu vibaya, badala mfungue matawi vijijini mnakimbilia nchi za nje, hivi kuna manufaa gani huko? Naipenda chadema ila kwa mwendo napata wasiwasi nanyi. Hizo garama anazotumia ni za kwake binafsi au za chama? Si ruzuku hio? Kodi zetu? Upuuzi mtupu makamanda wangu mnaoufanya. Huku serengeti hatuna matawi ya chama, sasa hapo mnajitanua nje huku ndani pamejaa? Watz hebu tuache hizi siasa uchwara!
Kakimbia aibu, baada ya kufungua tawi lililokosa wanachama, linalo ongozwa na wauza unga, hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataejiunga na chadema chini ya ma-drug dealers, sielewi Lema kaenda UK kwa dili gani na hawa madealers
Hivi uingereza, marekani, ujerumani na wenzao wanaojiita wameendelea, vyama vyao vya siasa vina matawi bongo? Acheni ulimbukeni.
tz ina vitanda vingapi huko vijijini? itachukua muda gani kuvifikia vyote? ili upate na muda wa ziada wa kufikia hivyo vya watz wa majua, khalafu nyie mnakuwa wa kwanza kumshambulia kikwete kuwa anatumia raslimali vibaya kwa kusafiri nje ya nchi. hapa tofauti iko wapi sasa. mkishauriwa hamtafakari ubishi ndio silaha yenu.
Wacha kujaza thread wewe kwani hujasikia Mbowe, Dr, Sugu, Lisu na wengine wanachofanya morogoro? M4C inapiga njee ndani mpaka wewe na akina rejeo mmbadili I'D hehehehe mwaka wenu Huu na bado Izo ni rasharasha Mwambie Nape aongeze alowernce kwani mtafanya kazi kwenye mazingira hatarishi zaidi ya haya soon. Ni mambo ya muda tuu na Saa inasogeza sekunde kwa kwenda mbelewakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.
Yaani wewe kwenye CDM viongozi woooote hawafai ila isipokuwa Zitto....kweli CDM inawasababishia watu msongo wa mawazoNaona mtahangaika tu, naona mmempa Lema fungu la kutalii ili kupunguza machungu ya kufukuzwa ubunge. Sidhani kama mnategemea chochote kutokana na hiyo ziara yake.
Msitegemee Lema aweze kuwashawishi watu wajiunge au wasaidie CDM kwa njia yoyote. Over all people ndani ya CDM mmeona Lema ndiye anafaa kukiwakilisha chama abroad? Kama yeye ndiye kichwa chenu, basi mjue chama kimeshapoteza mwelekeo na tukiita cha wahuni wala msilalamike.
Kutokana na historia ya Lema, kinachozungumzwa hapa kuwa alioonana nao London ni wauza unga nakubaliana nacho kabisa. Sitegemei kwa njia yoyote Lema aweze kuzungumza na wasomi au watu wenye upeo mkubwa kwenye mambo mbalimbali. Yeye level yake ni hiyo hiyo ya wauza unga na wanaoshinda kwenye mabaa.
wakati mwingine nashindwa kuwaelewa hawa cdm, nilitegemea nisikie aelekea kijiji fulani, hawa wa majuu siunaweza kutana nao huku mtandaoni, hebu tumieni akili imarisheni chama vijijini acheni ulimbukeni kama hawa wengine.
Ponda raha mkuu manake hayo matawi yenyewe hayana manufaa zaidi ya kuongeza mzigo wa matumizi kwa chama.Eti go Lema upuuzi mtupu
Dopodopo badala ya kuishauri cdm wakati wewe ccm bora uishauri ccm na mwenyekiti wenu muache kuchokoza wanawake kwani mwisho wake ni Aibu badala ya ushindi
Kakimbia aibu, baada ya kufungua tawi lililokosa wanachama, linalo ongozwa na wauza unga, hakuna mtanzania mwenye akili timamu ataejiunga na chadema chini ya ma-drug dealers, sielewi Lema kaenda UK kwa dili gani na hawa madealers
chanja mbuga kamanda daima tupo nanyi kuelekea kwenye ukombozi wa kweli...aluta continue!!!
Unajua kwenye vyama hivi vya upinzani kuna maluki waliopandikizwa na chama tawala, sasa wewe kama ni cdm basi ni cdm mamluki, ndio maana hutaki cdm washauriwe, hasa ushauri ule utakao wajenga. ushauri wa kuwajenga lazima uwe wa ukweli, ukweli siku zote unauma, sio wewe tu uliyepata maumivu ya ukweli wa ushauri wangu kwa cdm mko wengi na nimeziona posts zenu. ila waambie hao viongozi wa cdm wafanye mambo kwa priorities vinginevyo hawatakuwa tofauti na ccm, kwani ndicho kilicho washinda ccm siku zote, kutokuwa na vipaumbele.
Dopodopo napenda kushauriwa ila ushauri wako hauna mashiko kwani umesema Lema akajenge chama vijijini wakati umeona mgawanyo wa majukumu kwani Moro Dr slaa na timu nzima Ndio wanachokifanya kama chama lazima kikubalike njee na ndani ya nchi...nashukuru kwa ushauri wako japo Kati ya wanaokushauri huwezi kukubaliana nao kwani wako wapotoshaji pia