M4C kibaha

M4C kibaha

mbowe anasema hakuna kukaa makao makuu, ni kuingia vijijini. Anasema ccm bila polis, usalama wa taifa, na pesa za rushwa, hamna lolote.
 
Anasema ccm bila polis, usalama wa taifa, na pesa za rushwa, hamna lolote.

Hata mimi ninaweza kusema wewe bila ya mumeo/mkeo hakuna lolote.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Safi sana jamaa kasema mtu mmoja aliyekuwepo kwa msafara wa Chadema kutoka Ubungo alishuka kutoka garini na kusimamisha magari ili msafara upite na TrafikPolice aliyekaribu kaangalia tu hii nimeipenda sana,katoka garini na kusimamisha magari ili ya upande mmoja yapite safi sana hapa hajavunja sheria kwa kuwa kama wangepita bila mmoja kusimamisha magari ingekuwa ajali so thats so cool,Viva Chadema kwa Bongo hakunaga kama Chadema
 
mbowe anasema muda wa mabadiliko umefka, kama jirani yako ni ccm mshawishi usimtukane, kesho tujitokeze kwenye kesi ya rwakatale ccm hawatoki hapa. Anasema wa tz tutoe roho ya uoga. Mkutano umeisha kwa peoples power. Picha zipo kwenye digital ntajitahid niweke ucku huu muone nyomi la kina mama na wakazi wa kibaha waliojitokeza. Hakuna kulala mpaka kieleweke.
 
mnatengeneza picha tena kama za rwakatale hamogopi jela mtaisha vijana

Umeingia choo cha kike, acha kuingilia yasiyokuhusu.
Unajisikiaje watu hata hawakujali, umekosa suport hata ya MAGAMBA wenzio. mia
 
kumbe hamjuani hadi mtambulishane

M.t.e.l.a unahangaika sana,pole zako.wewe ushafukuzwa chadema,endelea na ccm yako,mweshimiwa zitto alishawaambia mdili na chama chenu kwa sasa.pole sana mwalimu.
 
acha upuuzi huu nao ni uzi leo kila mtu ataje diwani wake anafanya nn jf si itajaa masabur kazin
Samahani MODS,kwakuwa sheria hukata pande zote bila upendeleo,neno'' MASABURI''Lilishatumika kama tusi na nimeshawahi kulitumia hapa kwenye QUOTE yangu moja nikapigwa BAN,hivyo basi HUYU m 23 anapaswa kupewa haki yake ili akili yake ijue kujibu hoja badala ya matusi,pia itakuwa fundisho kwake kuwa mstari wa mbele kutumia lugha ya staha,naamini mtalishughulikia ili ajifunze ustaarabu.:A S shade::A S shade::A S shade:
 
Hata mimi ninaweza kusema wewe bila ya mumeo/mkeo hakuna lolote.


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

kwa polisi ndiyo wauezako au ndiyo wamekioa chama..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom