M4C kibaha

M4C kibaha

bagi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Posts
1,830
Reaction score
1,907
mambo yanaendelea hapa.
Diwan wa picha ya ndege yupo jukwaani.
 
wadau tupo uwanja wa maili moja, tunawasubiri makamanda kutoka dar, sasa hivi anaongea kamanda kutoka kawe.
 
Wamekatisha ubungo hapa, bila ya kufata sheria za barabarani, mmoja wao aliteremka na kuzuia magari. Trafik aliekuwa zamu ikabd awe mpole
 
jipangeni vizuri mtupakulie mambo toka jikoni
 
Tupia picha mambo yakishakuwa sawia mkuu!
 
Wamekatisha ubungo hapa, bila ya kufata sheria za barabarani, mmoja wao aliteremka na kuzuia magari. Trafik aliekuwa zamu ikabd awe mpole

Atafanyaje sasa wenye nchi wanapita..traffic mwenyewe chadema damuu
 
walizani muvi ya nchemba itazuia harakati za UKOMBOZI go on makamanda lazma magamba wakae chini 2015.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom