M4C kibaha

M4C kibaha

acha upuuzi huu nao ni uzi leo kila mtu ataje diwani wake anafanya nn jf si itajaa masabur kazin

acha wivu wa kike zile thread zako unazoletaga mwenyekiti wa cdm apandishwa kizimbani kumbe ni mkiti wa mtaa.tulia dawa iingie sindano ipo ndani tayari.
 
mnyika anasema kila mmoja anawajibu kushiriki m4c, mikakati ni kuwa kila mtaa tuwe na kuhamasishana mtaa kwa mtaa, kijiji kwa kijiji. Anazungumzia sasa ugumu wa maisha.
 
naamini ktk chama cha cdm, chenye uongoz bora, mikakati bora,na chama kitakacho mkomboa mtanzania,anagusia mchakato wa katiba mpya sasa, mnyika jembe, kweli tuna wabunge wenye uelewa anaongea point juu ya katiba.
 
Ivi watanzania mmelishwa nini kwenye vichwa vyenu mbona hamwamki. Serekali ya wajukuu zenu itaundwa na nyie wenyewe. Ndo maana kwenye elimu za wenzetu huwa wanaanza kuwafundisha watoto wakiwa kindergaten kwamba usichukue kitu kisichokuwa cha kwako, usiseme usichokijua, usimdharau mwenzako, mmpende mwenzako, usiwe na wivu n.k. Niliposoma mwongozo wao wa kindergaten na shule za msingi niliwashangaa sana ila baada nilikuja kuwaelewa. Sasa ndo tatizo ninaloliona Tz hata wasomi bado wako kule kule akisema leo huyu mmbaya utakazia yule ni mbaya bila kuwa na vizibitisho. Mtu atamchukia binadamu mwenzake kwa sababu ya mtu mwingie amesema ni mbaya. Watz wenzangu tunakokwenda siko. Ndo maana wazungu wanatudharau sana kwa sababu kwanza kabisa hatupendani kabisa na ukijiuliza kwa nini ni sababu za kijinga jinga.
mnatengeneza picha tena kama za rwakatale hamogopi jela mtaisha vijana
 
mbowe ameanza uchawi lini naanza kuwaogopa chadema

kama uchawi basi ccm ndiyo nyumbani kamati tendaji ikiongozwa na maji marefu na sheikh yahaya bila kuwasahau bumbuli route na iramba.njiwa ni alama ya amani.
 
mnyika anasisitiza umuhimu wa katiba bora
 
kuhusu picha jamani natafuta pozi nzuri, na2mia cmu, kutoa live update kazi. Mnyka anasema katiba bora haiwezi kuandikwa na serikali dhaifu kama ya ccm. Na watapeleka hoja c binafsi ila hoja ya cdm bungen kuhusu kupanda kwa gharama ya maisha, sasa anapanda katibu wa kanda ya pwani mh mdee.
 
kumbe hamjuani hadi mtambulishane



unajitahidi kuwatoa watu kwenye mada but wanakuchora tu. Huna effect yeyote kada.

Naona watu wanasoma post zako then kwenye value ya kila post unayoweka, wanaiweka kwenye mabano then wanamultiply na ZERO.
Kwisha habari yako kada.
 
halima mdee, anasema jukumu la kuibadilisha nchì hii si ya cdm, ni la wote sote, 2015 hakitaeleweka, naona wakina mama wapo wengi hapa,
 
cjamuona, maana wananchi ni wengi. Mdee anasema tunajenga nchi hii kwa kizazi kijacho.amepanda mabere sasa, tumsikilize marando.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom