Kijana leo
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 2,860
- 812
anasema kwa nini m.kiti wa kanda hayupo, yupo tabora kwa ajili ya maandalizi ya rufaa ya igunga, anaongelea kuhusu katiba mpya ili wananchi wajue kinachotaka kufanyika.
uwe unaweka vituo kada. Nakuelewa kwa tabu sana.
anapanda rais wa jamhuri ya mioyo ya watu ya watanzania. Dr slaa.
Wamekatisha ubungo hapa, bila ya kufata sheria za barabarani, mmoja wao aliteremka na kuzuia magari. Trafik aliekuwa zamu ikabd awe mpole