Ninaposikia habari njema kama hizi huwa napata faraja kubwa mno.yaani hawa makamanda. MUNGU AWATANGULIE kamanda wa anga mh. Mbowe , dr slaa, kamanda mnyika, mdee yaani hadi raha.twanga kotekote hawa magamba....hakuna kulala mpaka kieleweke.nafurahi kwani kila mwananchi ameelewa kuwa hiyo ni movie faje.mapoliccm na maccm yameshindwa kutekeleza majukumu yao sasa yanatapatapa.