M23 yaitisha tena Tanzania

M23 yaitisha tena Tanzania

>Kunaujumbe waliou-tweet kwa mh.Membe wakisema "TZ KAMA MUNATAKA AMANI KWANINI MUSIUNGE MUKONO MAZUNGUMUZO?"

Alafu wakasema "WONGA WENU NDIO UNAOWACELEWESA KUJA"

>Swali la msingi alilolisema mh.Membe bungeni ni kwamba,kwanini wanaiogopa na kuitisha Tz tu ikiwa ni nchi nyingi zinazokwenda kongo?

kwa sababu tanzania jeshi lake sasa lina uwezo wa kupambana na chadema tu hata majangili wanaoua tembo wetu limewashindwa
 
tutawatandika kutoka mashariki kuelekea magharibi tutawapiga kutoka kusini kuelekea kaskazini wamtishe huyohuyo kabila.....bila shaka ndio itakua friend war yetu kabla ya kupambana ma Malawi
 
>Kunaujumbe waliou-tweet kwa mh.Membe wakisema "TZ KAMA MUNATAKA AMANI KWANINI MUSIUNGE MUKONO MAZUNGUMUZO?"

Alafu wakasema "WONGA WENU NDIO UNAOWACELEWESA KUJA"

>Swali la msingi alilolisema mh.Membe bungeni ni kwamba,kwanini wanaiogopa na kuitisha Tz tu ikiwa ni nchi nyingi zinazokwenda kongo?

Hii vita haina maslahi kwa Tanzania. Kuna viongozi wachache kwa kuona mrija wa kuchota hela huku Tanzania umekatika na wamebakiza miaka miwili tu wameamua kwenda Congo kunufaika na madini na mbao kwa mgongo wa jeshi la Tanzania. Ridhiwani please slow down...

All in All kuna risk kubwa sana ya vita ya Tanzania na Rwanda hapa, bifu ya JK na Kagame kwa sasa ni kubwa kuliko wakati wowote. Kumbuka hata vita ya Tanzania na Uganda ingeepukwa kama sio bifu ya Nyerere na Idd Amin. Hapa atakachokifanya Kagame ni kuwachochea M23 wasambaratishe jeshi la Tanzania halafu baadaye watawala wetu wenye uchu na almasi za Congo walazimisha vita na Rwanda
 
Tanzania si salama tena

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Ila 2sishabikie Mambo Yasotuhusu!TANZANIA tunapata nguvu ya kuwasaidia RDC!na huku ya kwetu yametushnda! kwanini iyo bajeti ya kwenda congo!tukaitupia na kuongeza mshahara wa waalimu japo kwa 0.2%?mmh nchi hii.........
 
Una hakika ni wao wameandika? Hyo akaunti inaweza ikawa si yao,,anyway, hata gadafi aliwatisha waliokuwa wanataka kumvamia.wanatapatapa
ila kama ni m23,
hiyo kauli yao iko sawa.
"kutia mafuta kwenye moto"
 
Mimi bado sababu za msingi za kupeleka jeshi letu Kongo sizioni!!
..Kwa manufaa ya nani? Nchi hii kwa sasa ina matatizo lukuki..tunaenda kuatafuta mengine ilhali ya hapa nyumbani hatuyawezi kabisa!

.............uwezi kupata heshima ya kikanda kama hufanyi shughuli ndogo ndogo za kutia watu adabu !
 
Anyway kwa vyovyote vile hasa kwa kuzingatia hali ya uchumi mbovu na uongozi mbovu tulio nao, hatupaswi kujiingiza Congo. Tunapaswa kuweka nguvu kulinda mipaka lakini si kwa njia ya Aggression. Amani ya Congo sio best interest kwa watanzania.

Pia Kuna haja ya kutambua ushiriki wa Rwanda katika hili vinginevyo tunaweza kujikuta kwenye mgogoro mpana.
 
Back
Top Bottom