zwangandaba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 615
- 1,144
Naichukia Rwanda, M23 ,Kagame na watusi wote Dunia.Hilo ni jeshi vamizi la Rwanda linalojiita M23.
Swali la msingi la kujiuliza hata kama kweli M23 wanasaidiwa na Rwanda Sasa inakuwaje Muungano wa SADC,DRC,Burundi,Wazalendo, Wegner,FDLR,MONUSCO na makundi mengine karibu 10 wanapambaa !akini bado m23 inayo saidiwa na kanchi kadogo Rwanda bado inawachachafya vibaya.
Kama mapigano yakisimamishwa leo itakuwa aibu sana Kwa SADEC kupigwa na. Rwanda.
Chukulia mfano hata wa msumbiji. Wakati SADEC wakikusanyana kuunganisha nguvu, ye Rwanda aliingia vitani Msumbiji man alone na ndani ya wiki Moja alifanikiwa kuteka ngome ya waasi waliokuwa hatari na wamesumbua muda. mrefu.
SADEC wanaingia Msumbiji wanakuta tayari Rwanda tayari ameshapata matokeo na ushindi mkubwa dhidi ya maadui.
Tuache ushabiki, ila tukubali tu kwamba ukanda huu wa kati na kusini mwa Afrika Rwanda Ina jeshi dogo ila bora lenye umoja,muunganiko,silaha za kisasa na maarifa ya upiganaji katika mazingira youote.
SADEC wanakazi ya ziada Ili waweze kumshinda Rwanda, na yawezeka na muda Kwa Sasa sio rafiki labda miaka ya mbele baada ya kujipanga sana