East African Eagle
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 3,759
- 2,211
Watoto wanarudi kwa baba
Kiongozi wa waasi wa M23 Bertrand Bisiimwa amekimbilia Uganda, maofisa wa serikali ya Uganda wamethibitisha hilo. Hawa M23 hawatausahau mziki mzito wa JWTZ chini ya majeshi ya UN. Hongereni JWTZ na washirika wenu kwa kuleta mwanga kwa Wakongo.
Wewe binafsi umenufaikaje na hicho unachokisifia? na je Ndugu,Wake na Watoto wa waliopoteza wapendwa wao katika hii vita watakuunga mkono kwa hiki ulichokiandika?
Wewe binafsi umenufaikaje na hicho unachokisifia? na je Ndugu,Wake na Watoto wa waliopoteza wapendwa wao katika hii vita watakuunga mkono kwa hiki ulichokiandika?
well said mkuuMamilioni ya wacongo waliopoteza wake na watoto na wapendwa wao hakika wataunga mkono! na hawatasahau jinsi wanajeshi wa Tanzania walivyopoteza maisha yao kuwatetea.
Ni kweli mkuu.Nkunda alirudi kwa baba yake Kagame na Bisiimwa anarudi kwa Baba yake Mseveni. Asiyekuwa na baba Bosco Ntaganda alijikuta anapelekwa mkuku ICC uholanzi.
Hawa watakuwa wanajiishia maeneo ya starehe kigali na Kampala kwa baba zao.