M23 rebels have 48 hours to surrender: UN

M23 rebels have 48 hours to surrender: UN

Kuna daladala moja TOYOTA DCM Dar nyuma limeandikwa 'Unayemchukia kaja'!
 
End of story,wapi zile drones,apache na silaha zingine z kimarekani hawa jamaa
wapigwe warudi kwa aliewatuma

Hao jamaa wametumwa na Kagame na ndugu yake mtutsi mwenzie Museveni.
 
Is just crazy jinsi debate nzima ilivyo turn na kuwa about Kagame,the only way kumaliza hii conflict ni Congolese wenyewe na hakuna shortcut na wasitegemee battle yao ibebwe na MONUSCO au kumlaumu Rwanda kila siku ndio solution.

He is the ring leader of the movement, the March 23. Everyone (except you) knows the truth that M23 is not congolese.:shetani:
 
He is the ring leader of the movement, the March 23. Everyone (except you) knows the truth that M23 is not congolese.:shetani:
If you think M23 are not Congolese,you are crazy!
 
MONUSCO sio wajinga kujiingiza kwenye guerilla warfare na hawa rebels and they will never attack or force to disarm anybody,the only thing they will do ni kuweka buffer zone na kusimamia kama kutakuwa kuna makubaliano yeyote btn hizi factions,Congolese hakuna mtu atapigana vita yenu ni nyie wenyewe ndio mtaleta peace, MONUSCO wako pale kusimamia amani and disarm kama kutakuwa na makubaliano yeyote.
 
Wish u all the Best my Comrade Sele Mbwambo from Special Force Unit..!!!!! urudi salama.
 
MONUSCO sio wajinga kujiingiza kwenye guerilla warfare na hawa rebels and they will never attack or force to disarm anybody,the only thing they will do ni kuweka buffer zone na kusimamia kama kutakuwa kuna makubaliano yeyote btn hizi factions,Congolese hakuna mtu atapigana vita yenu ni nyie wenyewe ndio mtaleta peace, MONUSCO wako pale kusimamia amani and disarm kama kutakuwa na makubaliano yeyote.

Stupid comment.....there is no room ya kupotosha watu karne hii
the truth is naked mkuu....
 
Hiyo ndio language wanayo ielewa, sasa ni wakati wa kupiga stori nao live bila kupepesa macho. Ni Vyuma kwenda mbele, heshima irudi sasa.
 
MONUSCO sio wajinga kujiingiza kwenye guerilla warfare na hawa rebels and they will never attack or force to disarm anybody,the only thing they will do ni kuweka buffer zone na kusimamia kama kutakuwa kuna makubaliano yeyote btn hizi factions,Congolese hakuna mtu atapigana vita yenu ni nyie wenyewe ndio mtaleta peace, MONUSCO wako pale kusimamia amani and disarm kama kutakuwa na makubaliano yeyote.
Hakuna mtu yeyote mstaarabu anayetaka vita; lakini kwa sababu nyie watutsi ndo mna force vita, MONUSCO hawatakaa kimya kwa sasa. They have been quiet for so long, now there is no longer a room to negotiate with tyrants, blood suckers, killers of tutsi ethnic group! Naona ushaanza kutetemeka sasa... I told you, surely hasira ya MUNGU lazima iwashukie; nyie interahamwe na m23 mshaua vya kutosha sasa basi!
 
where are you running?i need answer
That one will never give you an answer to crucial questions, what he knows is to hurl insults to those who are challenging him. So, don't just waste your time with this one, the so calling himself koba....(sijui koba la taka au ni koba la kubebea nini)!!!
 
Koba,

..utawala wa Kinshasa unawatambua M23 kama raia wa DRC.

..M23 walikuwa sehemu ya jeshi la DRC ila waka-defect baada ya baadhi yao kuambiwa watakuwa deployed maeneo tofauti na eastern Congo.

..kwa msingi huo utaona kwamba ni M23 ndiyo wanaojitenga na ndugu zao wa maeneo mengine ya DRC.

..lakini hawa M23 siyo kikundi cha kwanza kuleta vurugu zisizokuwa na msingi DRC. sijui kama unawakumbuka wakina Bizima Karaha[alikuwa anaungwa mkono na Kagame] na wenzake ambao walidai wanapigania Congo na wanaungwa mkono wa wananchi waliowengi. Baada ya kufanyika uchaguzi, matokeo yameonyesha kwamba wananchi wa Congo wamewakataa.
 
Last edited by a moderator:
If you think M23 are not Congolese,you are crazy!
...it is you koba who is not only crazy but a MAD MAN thinking that no one knows that m23 are tutsi invaded DRC under the assistance of kagame..
 
watakua wamewasoma na kuona si chochote si lolote. ni sawa na tembo kumlambisha nyanya. m23 ni nyanya tu. mia
 
Back
Top Bottom