mbalila
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 825
- 161
safi sana mkuu inapendeza sanaaaa,hii ndiyo tunaoitaka Jamhuli ya Tanganyika
safi sana mkuu inapendeza sanaaaa,hii ndiyo tunaoitaka Jamhuli ya Tanganyika
Ndo hayo kwa hayo.
We ulichokiona ni hio singular na plural tu?
Haya basi, Iraqi, muirak mmoja, Iraqis, wairak wengi.
Zanzibari, mzanzibar mmoja, Zanzibaris, wazanzibar wengi.
Kwa ufupi hakuna Zanzibarian wala Zanzibarians.
Sasa hapo juu uliandika nini,maana naona unajijibu mwenywe,hujulikani kama shelisheli au bogaacha uongo bwana.kuna tofauti kati ya zanzibaris na zanzibarian.zanzibaris ni watu wa zanzibar na zanzibarian ni mzanzibar.take this mpoland anaitwa a POLI ila watu wa poland wanaitwa polish two different things
Sasa hapo juu uliandika nini,maana naona unajijibu mwenywe,hujulikani kama shelisheli au boga
Mzanzibari anaitwa Zanzibaris na sio Zanzibarian
Kwahiyo Mtanganyika ataitwa Tanganyikas
Kwa maelezo ya warioba jana ni kwamba hakutakuwa na mtanganyika wala mzanzibari bali watanzania pekee, sababu uraia utakuwa ni wa nchi moja.
Sasa hapo juu uliandika nini,maana naona unajijibu mwenywe,hujulikani kama shelisheli au boga
We sijui umeona wapi imeandikwa Zanzibarian,au ndio wale wa Div 5 - 9
Kwa ufupi mie naishi huku na ninachokuambia ndio ninachokijua na ndio sahihi.
Sasa unilzaimishe kuwa mie ni Zanzibarian sikuelewi,na ninawasiwasi shuleni ulikuwa unaangalizia.
Tena ndio wale wanaangalizia mpaka jina,badala ya kuandika lako unaandika jina la chabo.
Kubali kupewa shule maana hapa hulipi,mzee wa ku Google
au ndio unakariri (an)kila kitu,umekuwa Braza Key wa FUTUHI,maana yeye enakupa MWANZANIAN,
Kwa ufupi hakuna neno Zanzibarians wala Zanzibarian kama unavyobishia,kuna Zanzibaris na Zanzibari.
Nyie ndio mnatia aibu Taifa,maana mnasoma kwa kumaliza mtihani na sio kuelewa,na ndio maana mnafanya vijana wenzenu wakose ajira kwa kuulizwa uzoefu wa miaka mitano,maana wanajua kama nyie mpo wengi sana mitaani wazee wa kumeza Pepa.
acha uongo bwana.kuna tofauti kati ya zanzibaris na zanzibarian.zanzibaris ni watu wa zanzibar na zanzibarian ni mzanzibar.take this mpoland anaitwa a POLI ila watu wa poland wanaitwa polish two different things
Kweli wewe jiwe,angalia ulichoandika hapo juu na unachosema
Kweli wewe jiwe,angalia ulichoandika hapo juu na unachosema
Wadau ; Naiona Tangayika inakuja kwa kasi. Sasa najiuliza mtanganyika au Watanganyika wataitwaje kwa kiingereza? Tumezoea Tanzanian/s
................acha uongo bwana.kuna tofauti kati ya zanzibaris na zanzibarian.zanzibaris ni watu wa zanzibar na zanzibarian ni mzanzibar.take this mpoland anaitwa a POLI ila watu wa poland wanaitwa polish two different things
................