Software Engineer
JF-Expert Member
- Dec 20, 2014
- 344
- 137
Wadau tuna app ambayo mtu anaweza kununua kitu kisha kufanya malipo kwa M-PESA au Tigo-PESA.
Tunataka "Web Application Server" yetu iwe na uwezo wa kupokea notification zenye details za malipo (M-PESA & Tigo-PESA) kutoka kw Mobile Money Service Provider (e.g. Tigo,Voda, etc) pindi mteja wetu anapofanya malipo kupitia(USSD service ya) simu yake.
Naomba kufahamu
1. Gharama
2. Procedures kulingana na operator
3. Requirements kulingana na operator
za kufanya integration ya kupokea notification za malipo kutoka kwa mobile operator kwenda kwenye (3rd party) web app server.
Shukrani