M-Pesa sio salama

M-Pesa sio salama

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
5,182
Reaction score
2,330
Nimetuma hela kwa mtu anaitwa Samweli Deus kimakosa na in ten minutes nikawapigia MPesa kwa dial 100 na niliongea na dada aliyeko kitengo cha lugha ya Kiingereza na akaniambia nimpe receipt number ya hiyo transaction. Amekuwa fasta kucheki na kuniambia niliyemtumia hela ameshazichukua kwa wakala na THEY CAN DO NOTHING na itanibidi mimi nimpigie mwizi wa hela zangu na akikataa niripoti polisi. Hii ilikuwa accident na sijawahi kosea tangu nianze kutumia hii huduma. Nimesikitika kuwa MPESa haina mechanism ya security kuhakikisha watumiaji wa huduma hawaibiwi. Kwao wanahesabu wamefanya business bila kujali mteja kaibiwa;. Nimejiuliza maswali yafuatayo:
1. VODA hawana uwezo wa kumtrack mteja wao aliyewaibia wateja wengine?
2. Namba ya aliyechukua hela zangu ni 0759548521 inakuwaje Vodacom wanashindwa kunisaidia kupata hela zangu na badala yake kuniambie is non of their business.
3. TCRA inawabanaje hawa wenye kutoa hizi huduma kuhakikisha fedha za mteja hazichopolewi hata pale anapokosea namba au ni kilio cha samaki.
4. Im sure voda wanamjua hata wakala aliyetoa hela na ni rahisi kwa wao kumtumia kumtia mbaroni mwizi ; how come hawataki kujishughulisha na kumwachia aliyeibiwa afanye negotiation na mwizi?

5. Aliyeibiwa yuko Arusha na aliyeiba yuko kanda ya Ziwa na wao wana muscles za kufuatilia nchi nzima ni kwa nini tusione kuwa MPESA siyo salama?

Naomba tusaidiwe hata kama tulikosea ili kupata hela zangu na bado ninaamini wana uwezo wa kufanya hivyo onlu nimekutana tu na VERY WRONG IRRESPONSIBLE AND SHORTSIGHTED STAFF.
 
Kama hali ni hii inabidi TCRA wafanye review ya opreation ya hizi huduma za fedha ili ziingie mkataba na watumiaji including kuhakikisha security ya fedha za yeyote anayetumia mtandao wao
 
Nadhani huwa unapata Ujumbe kuwa Hakikisha Namba Kabla ya kutuma Fedha zako, Makosa ni yako hapo sio yao!
Hapa nadhani ndo mahali pa kuwa makini kabla huja confirm hiyo transaction yako.
Vodacom au mtandao wowote ule hauwezi kuwa na msaada kama aliepokea katoa kwa wakala. Kwanza watajuaje kama kweli ulikosea na siyo kwamba umemtumia mtu ili uirudishe badae uweze kukopa (wengine hukopa papuchi kwa njia hiyo)
Ni rahisi vodacom ku block ile pesa kama hajatoa kwa wakala.
Anyway, pole sana.
Ndugu Architectus nadhani mhanga amekuelewa. Nimeongezea nyama tu.
 
Walichoniambia MPESA nimwombe mwizi arudishe hela zangu na ameamua kukaa kimya.
Jina la mwizi ni SAMWELI DEU MWENYE NAMBA 0759548421 na anaolafudhi ya kisukuma yet wanajidai hawawezi kumpata
 
Back
Top Bottom