Amanijua
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 1,776
- 1,612
Karibu wiki LA tano sasa mnasitisha huduma.
Kila weekend mnatuma SMS eti mnafanya matengenezo.
Matengenezo gani ambayo hayaishi kila kukicha???
Mbona hatusikii TIGO PESA au AIRTEL MONEY wakiboresha mifumo yao na bado huduma zao ni nzuri????
Wadau naona ni muda muafaka kuacha kutumuia huduma ya M-PESA maana inakwamisha shughuli za kiuchumi na kijamii..
Mfano Jana kuna ujumbe mlituma kwamba kuna matengenezo ambapo mkaahidi huduma kurejea SAA 7 mchana ya Leo jumapili lakini sasa hivi mtu akiingia kuna maneno haya;;
"All connections are in you use,please try again later"...
Kama kuna anayejua kinachoendelea kwa hawa jamaa atujuze wadau...hofu imetanda kwa sisi watumiaji wa hii huduma.