Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,208
- 27,017
Nataka kwangu nimejaribu site zote inakataaHujatoa maelezo yakutosha.. inagoma kwenye mtandao/website ipi..??
Naona hizo site hazina majina na ikigoma husemi inaandikaje.. na sijui Kama umeshawauliza site husika kama wanaruhusu MasterCard ya mpesa!.. Sasa sijui utasaidiwa vipi.
Wewe elewa site zote za kulipia onlineNaona hizo site hazina majina na ikigoma husemi inaandikaje.. na sijui Kama umeshawauliza site husika kama wanaruhusu MasterCard ya mpesa!.. Sasa sijui utasaidiwa vipi.
Hebu tulia uandike vizuri acha mikato. Moja ya sehemu ya kutatua tatizo ni kulielezea vizuri.. Sasa we unaandika jaribu!!!!.. what if mtu hana mpango wa kununua kitu kwa wakati huu..?[emoji28]
Okay.Wewe elewa site zote za kulipia online
Tatizo liko kwenye kadi husika maana haiwezekani hizo site zote zigome
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka kwangu nimejaribu site zote inakataa
Shukrani mrejesho muhimu mkuu maana siielewi tatizo ni Nini tangu Jana inanigomea nimefuta kadi na kutengeneza ingine lakini wapiMimi naitumia haijanisumbua, leo ni siku ya kulipia icloud yangu ngoja nione kama saa sita usiku itagoma nitakuletea mrejesho
jana tu nimetoka kutumia m pesa master card mbona iko fresh haina tatizoKwa wateja wa hii huduma he mnakumbana na tatizo la transactions kulipia huduma za mtandao .
Mimi kwangu Ina goma kila wakati haiwezi lipo tatizo sijui ni nini? na Voda wamekaa kimya
Nilifuta kadi nikatengeneza ingine lakini Tatizo liko vile vile
Je, wamesitisha huduma hii?
Je, Kuna tatizo la kiufundi?
Jaribu na wewe utupe mrejesho?
Nimetumia jana usiku kuamkia leo
Shukrani nimejaribu Sasa hivi imekubaliNimetumia jana usiku kuamkia leo
Kadi ganiiAliexpress wanasema we dont accept this kind of card