Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Katika uchaguzi uliopita USA katika hali ya kushangaza Wanawake wengi sana wa pia walimpgia kura D.Trump kinyume na matarajio ya maelite ambao walitaka H.Clinton ndiyo awe raisi wa USA!
Sasa baada ya kushindwa kwa Bi.Clinton, Michelle Obama ndiye anayeandaliwa na haya maandamano ya Wanawake ni ktk kuwaandaa Wanawake kwa wingi wao kama vile walivyoandaliwa watu weusi na Waafrika wkt wa Obama kwamba ni mtu wao!
Wanawake wanaandaliwa mazingira ili wajione kwamba wanaonewa na wote kwa ujumla wao kwamba wana common enemy naye ni D.Trump na Ukristo kama vile watu weusi tulivyodanganywa na kutumiwa kwamba adui yetu ni Mzungu hivyo tukamsapoti Obama kwa wingi wetu mpaka wengine tukabadilisha majina ya barabara zetu muhimu, wakati ukweli ni kwamba Obama mwenyewe ni Mzungu pia upande mmoja, hivyo siyo mtu mweusi!
Kwa hiyo Wanawake nao wanaandaliwa hivyo hivyo kwamba na wao wanahitaji Raisi Mwanamke na hapo ndipo Bi.Obama atakapokuja, kwani kumbuka Obamas wakati wanakabidhi madaraka kwa D.Trump na kuchukuliwa na helikopta ya US Marine walisema ,,we will be back before you know it" - Michelle Obama!
Wanawake wakiaandaliwa kisakolijia kama vile watu weusi tulivyoandaliwa kumkubali Obama!
Bango la Wanawake likisema unite for Hope, kumbuka hope ya Obama