Uzi huu umefungwa kwa comment hii.Kwanini usiwapigie mamlaka husika ukapata muongozo wa uhakika?
Vipi umefanikiwa kupata taarifa uje na mrejeshoJe, kikundi cha M-Koba kinaweza tumia huduma ya M-wekeza? Na kama kinaweza, Je utaratibu ukoje?
Yawezekana hii comment iliwakatisha tamaa wachangiaji na huenda muhusika alishapata majibu ila ameshindwa kuleta mrejeshoKwanini usiwapigie mamlaka husika ukapata muongozo wa uhakika?
Sio kila kitu cha kuuliza kwenye forum ndio maana watu hutapeliwa humu, wakati mwingine vitu sensitive kama hivyo unawapigia wahusika direct wakupe ufafanuzi wa uhakika na wa haraka.Yawezekana hii comment iliwakatisha tamaa wachangiaji na huenda muhusika alishapata majibu ila ameshindwa kuleta mrejesho
Hata hivyo, anayefahamu si vibaya kutoe uzoefu hapa ndiomaana ya forums kama hizi
Sasa kwani akiuliza huku kuna shida gani, mbona kama point yako sio ya msingi ...Mtu anapouliza kitu katika forum anataka apate experience za watu , elimu mbalimbali kuhusu Mada husika ili aweze sio tu kufanikisha jambo lake Bali pia awe ameongeza kitu katika jambo analolitaka kufanikisha aidha elimu ,networking na watu husika katika shughuli hiyo na experience kwa waliowahi kufanya kitu icho na kama haitoshu kupunguza beurocracy au mlolongo mrefu katika kufikia huduma anayoitaka. HIVYO PUNGUZA NEGATIVE MIND 2026.Sio kila kitu cha kuuliza kwenye forum ndio maana watu hutapeliwa humu, wakati mwingine vitu sensitive kama hivyo unawapigia wahusika direct wakupe ufafanuzi wa uhakika na wa haraka
Tunaomba mrejesho kama ulifanikiwa sisi pia tunataka kujua ili tujue pa kuanziaJe, kikundi cha M-Koba kinaweza tumia huduma ya M-wekeza? Na kama kinaweza, Je utaratibu ukoje?
Japo umeandika vitu vingi lakini bado point yangu ipo pale pale, VITU SENSITIVE MNAPASWA KUWAPIGIA SIMU WAHUSIKA KWA TAARIFA ZA KWELI NA UHAKIKA, watu kama nyie hamuambiwi kitu kuhusu AI🙄Sasa kwani akiuliza huku kuna shida gani, mbona kama point yako sio ya msingi ...Mtu anapouliza kitu katika forum anataka apate experience za watu , elimu mbalimbali kuhusu Mada husika ili aweze sio tu kufanikisha jambo lake Bali pia awe ameongeza kitu katika jambo analolitaka kufanikisha aidha elimu ,networking na watu husika katika shughuli hiyo na experience kwa waliowahi kufanya kitu icho na kama haitoshu kupunguza beurocracy au mlolongo mrefu katika kufikia huduma anayoitaka. HIVYO PUNGUZA NEGATIVE MIND 2026.
Japo umeandika vitu vingi lakini bado point yangu ipo pale pale, VITU SENSITIVE MNAPASWA KUWAPIGIA SIMU WAHUSIKA KWA TAARIFA ZA KWELI NA UHAKIKA, watu kama nyie hamuambiwi kitu kuhusu AI🙄
SidhaniJe, kikundi cha M-Koba kinaweza tumia huduma ya M-wekeza? Na kama kinaweza, Je utaratibu ukoje?
Huu muda wote mtoa mada asingenisikiliza na kuwapigia simu wahusika angekua bado yupo njia panda.... nyie watu wenye high IQ hua mnapenda mipasho sana badala ya kutoa msaada.Uwezo wako wa kufikiri upo fixed kiasi kwamba hata kuelewa unapata shida na umejawa na ujinga kwa ubishi usio na tija , sina Shaka kwamba Una low IQ na sipaswi kukupa muda kukusikiliza.Kwaheri!!