M/kiti wanawake chadema ahujumiwa

Msameheni huyu maana hajui asemalo kwani alikuwa anbeep ili apigiwe sasa kaishajua alichokuwa hajui
 
Katika hali isiyo ya kawaida Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) ameachwa katika uteuzi wa wabunge wa viti maalumu licha ya kuomba huku makamu wake, katibu mkuu wake, naibu katibu mkuu wake wakiteuliwa. hali hii ni picha mbaya kwani katika kura zilizopigwa na wanawake chadema mwezi august alikuwa namba 2 kabla hawajatoa visingizio vya uchaguzi kuharibika baada ya kuona wateule wao wakiwa wamefeli kwa mbali.
mchakato wa uteuzi uliofanyika na vigogo kina dr. slaa, mbowe na lissu umepelekea wanawake wengi wenye sifa kuachwa huku dada wa tundu lissu ambaye hana uzoefu wala mchango ndani ya chama akipewa ubunge, mke wa dr. slaa rose kamili naye kazawadiwa ubunge kutokana na kuwa kimya wakati wa sakata la mchumba na ilikuwa moja ya makubaliano ya ukimya wake. kama kawaida ndesamburo kaingiza binti yake na mkwewe katika ubunge na waliosalia wengi ni wapenzi wa vigogo.
katika hali hiyo tunashindwa kupima demokrasia wanayoipigia kelele kila siku.
cha kushangaza ni kitendo cha Dr. Mkumbo kuaibisha taaluma yake kwa kujitokeza mbele ya umma wa watanzania na kusema kuwa yeye ndie aliyeweka vigezo vya uteuzi, ni kwa nini asingewashauri kuruhusu demokrasia? ni kweli ktk demokrasia kuna vigezo vipi? mbona hata wenye sifa kubwa akiwemo huyo mwenyekiti wa wamama ambaye kapigania chama kwa miaka, ana elimu na uzoefu mkubwa kaachwa?
huu ni ubabaishaji wa hali ya juu.
Hayati Chacha Wangwe katika uhai wake alipigania sana haki ndani ya chadema na mojawapo ni uteuzi wa viti maalum kinddugu, kifamilia, kiukoo na kimapenzi.
katika hali hii hiyo demokrasia itajengwa vipi?
Wewe mjingamjinga umelipwa bei gani kusanbaza sumu hii?
HUONI kuwa umekuwa MPUMBAVU kukubali kazi ya wendawazimu kama hii?
Inakuwaje unaongea wakati hujui kitu kinachoendelea ndani ya chadema, wewe ndio speaker ya hao watu?
Wewe ni mbumbumbu, na dhambi hiyo itakutafuna mwenyewe kwa ujinga wako
Hopeless!
Fool!
Useless!
Imbecile!
Nincompoop!
Kajaribishe kwengine
 
wafuasi wa chadema kwa kauli chafu!!... MPENI MAJIBU kwa kauli za kisstarabu basi muweke heshima hata kwa hiko chama chenu..
 
Katika hali isiyo ya kawaida Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) ameachwa katika uteuzi wa wabunge wa viti maalumu licha ya kuomba huku makamu wake, katibu mkuu wake, naibu katibu mkuu wake wakiteuliwa. hali hii ni picha mbaya kwani katika kura zilizopigwa na wanawake chadema mwezi august alikuwa namba 2 kabla hawajatoa visingizio vya uchaguzi kuharibika baada ya kuona wateule wao wakiwa wamefeli kwa mbali.
mchakato wa uteuzi uliofanyika na vigogo kina dr. slaa, mbowe na lissu umepelekea wanawake wengi wenye sifa kuachwa huku dada wa tundu lissu ambaye hana uzoefu wala mchango ndani ya chama akipewa ubunge, mke wa dr. slaa rose kamili naye kazawadiwa ubunge kutokana na kuwa kimya wakati wa sakata la mchumba na ilikuwa moja ya makubaliano ya ukimya wake. kama kawaida ndesamburo kaingiza binti yake na mkwewe katika ubunge na waliosalia wengi ni wapenzi wa vigogo.
katika hali hiyo tunashindwa kupima demokrasia wanayoipigia kelele kila siku.
cha kushangaza ni kitendo cha Dr. Mkumbo kuaibisha taaluma yake kwa kujitokeza mbele ya umma wa watanzania na kusema kuwa yeye ndie aliyeweka vigezo vya uteuzi, ni kwa nini asingewashauri kuruhusu demokrasia? ni kweli ktk demokrasia kuna vigezo vipi? mbona hata wenye sifa kubwa akiwemo huyo mwenyekiti wa wamama ambaye kapigania chama kwa miaka, ana elimu na uzoefu mkubwa kaachwa?
huu ni ubabaishaji wa hali ya juu.
Hayati Chacha Wangwe katika uhai wake alipigania sana haki ndani ya chadema na mojawapo ni uteuzi wa viti maalum kinddugu, kifamilia, kiukoo na kimapenzi.
katika hali hii hiyo demokrasia itajengwa vipi?

Kumbe unawazungumnzia wao, mie nilidhani umekuja na mjadala! Inaelekea Mbowe, Lissu, na Slaa wanakunyima kweli usingizi, maana hujasema kwa vyeo vyao ila kwa majina yao! Na swali lingine ni hili: Hivi CCM walivyokuwa wanamchagua Rose Kamili kuwa diwani pale Karatu aliwafichia siri gani?
 
Special seats Members of Parliament
Chadema
1. Lucy Owenya (Kilimanjaro),
2. Esther Matiko (Mara)
3. Mhonga Luhanywa (Kigoma),
4. Anna Mallac (Katavi),
5. Paulina Gekul (Manyara)
6. Conchesta Rwalumulaza (Kagera).
7. Suzan Kiwanga (Morogoro),
8. Grace Kiwelu (Kilimanjaro),
9. Suzan Lyimo (Kilimanjaro),
10. Regia Mtema (Morogoro),
11. Christowaja Mtinda (Singida),
12. Anna Komu (Dar es Salaam),
13. Mwanamrisho Abama (Zanzibar),
14. Joyce Mukya (Arusha),
15. Leticia Mageni Nyerere (Mwanza)
16. Naomi Kaihula (Dar es Salaam).
17. Chiku Abwao (Iringa),
18. Rose Kamili (Manyara),
19. Christina Lissu (Singida),
20. Raya Ibrahim Khamis (Zanzibar),
21. Philipa Mturano (Dar es Salaam),
22. Mariam Msabaha (Zanzibar)
23. Rachel Mashishanga (Dar es Salaam).
Ndugu, CHADEMA huijui kabisa??!!!! Mi nadhani kasambaze uongo wako huko mbele ya safari.... BAWACHA huijui kwa kuwa wewe uko UWT.... Nani kakwambia kuna wake za watu pale.... watu wengine wajinga saaana ukiona inaishia Lissu tuu tayari umepagawa kama una nyege vile... Acha kuzusha mambo bibie!!!

safi sana. jibu zuri kabisa
 
Aiseee Wandugu, Jinsi mlivyomshambulia mtoa mada...naona amesepa kimya kimya!

Kweeli wakuu mna hasira.
 
acha uzushi hata hujengi may be nawe ulitegemea seat umekosa! hiki chama ni makini na I hope kitaendelea kuwa hivyo....
 
duh hatarudia Tena masikini wa watu....
Mdogo wangu kabla hujaandika uwe unatafuta ukweli kwanza.....
huku kuna watu makini kuliko Uncle wako JK ...
pole lakini:smile-big:
 
Katika hali isiyo ya kawaida Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (BAWACHA) ameachwa katika uteuzi wa wabunge wa viti maalumu licha ya kuomba huku makamu wake, katibu mkuu wake, naibu katibu mkuu wake wakiteuliwa. hali hii ni picha mbaya kwani katika kura zilizopigwa na wanawake chadema mwezi august alikuwa namba 2 kabla hawajatoa visingizio vya uchaguzi kuharibika baada ya kuona wateule wao wakiwa wamefeli kwa mbali.
mchakato wa uteuzi uliofanyika na vigogo kina dr. slaa, mbowe na lissu umepelekea wanawake wengi wenye sifa kuachwa huku dada wa tundu lissu ambaye hana uzoefu wala mchango ndani ya chama akipewa ubunge, mke wa dr. slaa rose kamili naye kazawadiwa ubunge kutokana na kuwa kimya wakati wa sakata la mchumba na ilikuwa moja ya makubaliano ya ukimya wake. kama kawaida ndesamburo kaingiza binti yake na mkwewe katika ubunge na waliosalia wengi ni wapenzi wa vigogo.
katika hali hiyo tunashindwa kupima demokrasia wanayoipigia kelele kila siku.
cha kushangaza ni kitendo cha Dr. Mkumbo kuaibisha taaluma yake kwa kujitokeza mbele ya umma wa watanzania na kusema kuwa yeye ndie aliyeweka vigezo vya uteuzi, ni kwa nini asingewashauri kuruhusu demokrasia? ni kweli ktk demokrasia kuna vigezo vipi? mbona hata wenye sifa kubwa akiwemo huyo mwenyekiti wa wamama ambaye kapigania chama kwa miaka, ana elimu na uzoefu mkubwa kaachwa?
huu ni ubabaishaji wa hali ya juu.
Hayati Chacha Wangwe katika uhai wake alipigania sana haki ndani ya chadema na mojawapo ni uteuzi wa viti maalum kinddugu, kifamilia, kiukoo na kimapenzi.
katika hali hii hiyo demokrasia itajengwa vipi?

Unajua kaka/dada unapotaka kumvaa mtu kwa hoja ni vema ukafanya utafiti wa kutosha. Sasa wewe umepewa upupu bila hata kuuliza umekuja kujinyea ha JF. Hivi huyo mwenyekiti unamjua wewe? Naomi Kaihula ana nafasi gani kwenye CHADEMA? ameteuliwa viti maalumu au hakuteuliwa?

Najua umetumwa kutekeleza hilo uliloandika hapo lakini ungekuwa na akili timamu, angalau hata ungeuliza jina la huyo mwenyekiti alafu ukathibitisha kama yupo kwenye list au la! Poor you!
 
Wewe umejaribu kuwasiliana na wahusika ukapeleka malalamiko yako wakashindwa kukujibu?
Hizo sifa unazosema wanazo ni zipi?
Tunaomba hii issue yako utupe evidence za kutetea unachokisema tafadhali,otherwise usituletee mambo ya hisia na chuki binafsi.

Kaka usikurupuke, Chadema hawakuangalia sura au jina la mtu, mchakato ulikuwa na vigezo vya wazi na kimapinduzi, kumbuka hiki ni chama kinachotaka kushika dola, lazima kiwe na watu wenye sifa za kufanyakazi si kupaka wanja kama kuleeeeee.

Sasa hao unaowataja akina Kamili wote walipimwa na kuwa ranked kielimu, mchango ndani ya chama, harakati za mageuzi na zaidi ushiriki wao majimboni ktk uchaguzi mkuu wa 2010 na jinsi walivyosaidia kukiinua chama kupitia uchaguzi huo.Hebu lete sifa za unayemtete tuziangalie dhidi ya hao 23 then ndipo tunaweza kujadiliana kisomi.
 
Nimesema watu tuwe na hekima ya kujibu humu tusije tukaonekana wote wahuni humu wakati sisi ni watu na heshima zetu. Ukikosolewa na kama mtu kakosea basi mjibu kwa hoja ya kumwelewesha na si ku mtukana mitusi. Mnatuchafulia mnataka tuonekane hatunazo wote . NATAKA MODS TUREJESHE HESHIMA HUMU NDANI TUONEKANE KWELI NI GREAT THINKERS NA SIYO MAKULI
 
Ni kweli, lakini watu wengine wanakera kiasi cha kushawishi wengine watukane!!!!
 
tumeshasema humu si vikao vya chadema kwa mujibu wa katiba, habari hizo peleka kinondoni makao makuu ya chadema, hatutaki umea!!!!!!

kama avikuhusu we vinakuwashia nini kujibu weken uhuru watu waseme wanachotaka msilete uchadema na uccm humu kusiko na akili
 
wewe mjingamjinga umelipwa bei gani kusanbaza sumu hii?
Huoni kuwa umekuwa mpumbavu kukubali kazi ya wendawazimu kama hii?
Inakuwaje unaongea wakati hujui kitu kinachoendelea ndani ya chadema, wewe ndio speaker ya hao watu?
Wewe ni mbumbumbu, na dhambi hiyo itakutafuna mwenyewe kwa ujinga wako

hopeless!
Fool!
Useless!
Imbecile!
Nincompoop!
Kajaribishe kwengine

mod busara zitumike kujibu watu jamani.....polen na mihangaiko ya siku alamsiki
 
Back
Top Bottom