mbunge wa vunjo agustino lyatonga mrema ametoa nyumba yk huko kiraracha itumike kuhifadhi watuhumiwa wa uhalifu waliokamatwa kijijini hapo na sungussungu Jambo lililosababisha kuchomwa kwa nyumba ya mwenyekiti wa kijiji hicho na kusababisha vifo vya watu wawili .
Hivi ubunge hauna mipaka
nani kampa kibali cha kugeuza nyumba yake kuwa mahaBusu
Too bad...nadhani mamlaka husika zitafuatilia kwa umakini sakata hili na tutajua tu ukweli soon..pole kwa mtoto innocent aliyepoteza maisha kwa kosa asilolijua..Mungu awalaze mahali pema peponi
He did that thing in just good faith, kwa nia ya kusaidia usalama wa eneo hilo...Nisawa na mfano wa fedha alizojitolea Mnyika, watu wazi'misuse na kusababisha havoc yoyote, aidha kujeruhi au kuua.
Waliofariki ni mke wa mwenyekiti wa kijijini pamoja na mtoto wa miaka sita ambao walishindwa kutoka nyumba yao ilipochomwa na wale waliokuwa wakipinga wenzao kuwekwa kizuizini kwenye nyumba ya lyatonga badala ya kituo cha polisi