lyatonga asababisha mauaji

superfisadi

JF-Expert Member
May 22, 2009
553
52
mbunge wa vunjo agustino lyatonga mrema ametoa nyumba yk huko kiraracha itumike kuhifadhi watuhumiwa wa uhalifu waliokamatwa kijijini hapo na sungussungu Jambo lililosababisha kuchomwa kwa nyumba ya mwenyekiti wa kijiji hicho na kusababisha vifo vya watu wawili .
Hivi ubunge hauna mipaka
nani kampa kibali cha kugeuza nyumba yake kuwa mahaBusu
 
Too bad...nadhani mamlaka husika zitafuatilia kwa umakini sakata hili na tutajua tu ukweli soon..pole kwa mtoto innocent aliyepoteza maisha kwa kosa asilolijua..Mungu awalaze mahali pema peponi
 
He did that thing in just good faith, kwa nia ya kusaidia usalama wa eneo hilo...Nisawa na mfano wa fedha alizojitolea Mnyika, watu wazi'misuse na kusababisha havoc yoyote, aidha kujeruhi au kuua.
 
rip wezi mliokuwa mahabusu aliyotoa lyatonga mrema
Waliofariki ni mke wa mwenyekiti wa kijijini pamoja na mtoto wa miaka sita ambao walishindwa kutoka nyumba yao ilipochomwa na wale waliokuwa wakipinga wenzao kuwekwa kizuizini kwenye nyumba ya lyatonga badala ya kituo cha polisi
 
Mzee wa Kilalacha, sidhani kama alikuwa na nia mbaya. Kwa maana hiyo, yliyotokea hayakukusudiwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom