mtuhumiwa wa ulishaji sumu anapataje uhalali wa kuanza kutamba mitaani??
atulie sasa mana kuhtuhumiwa ni kuhusishwa, utakaposhinda kesi ndio unaweza kuwa na ujasiri wa kuongea, saivi bado ana hadhi ya kulisha watu sumuKwa sababu ni mtuhumiwa.....tuhuma si hukumu
mtuhumiwa wa ulishaji sumu anapataje uhalali wa kuanza kutamba mitaani??
atulie sasa mana kuhtuhumiwa ni kuhusishwa, utakaposhinda kesi ndio unaweza kuwa na ujasiri wa kuongea, saivi bado ana hadhi ya kulisha watu sumu
vijana mnatumika vibaya sana, badala usome kilichoandikwa uelewe unaanza kuropoka. inabidi slaa awapangue aweke vijana wengine
atulie sasa mana kuhtuhumiwa ni kuhusishwa, utakaposhinda kesi ndio unaweza kuwa na ujasiri wa kuongea, saivi bado ana hadhi ya kulisha watu sumu
Kwa sababu ni mtuhumiwa.....tuhuma si hukumu
Wewe akili yako kama ya Pinda........... Unaelewa maana ya mtuhumiwa?
heri yenu nyie mnaotumika vizuri.... Wewe umeelewa nini kwani?