Lwakatare, Jimbo lako umemwachia nani?

Lwakatare, Jimbo lako umemwachia nani?

hata mie nisingepiga
pale ambapo ninamajanga waja nambia katerero sijui ngono wala haikupaswa hata wakusanyike kumsikiliza wangeendelea na shughuli zao tu
Aiseee yaani sijui bwana mkubwa alikuwa anawaza nini siku hiyo
 
Kwa huu utendaji kazi na uwajibikaji wako kama bado kuna kitu chama chako kinategemea toka kwako katika kulitetea jimbo ifikapo 2020 basi kimekwisha, umefeli.

Umekuwa "alama" kubwa sana ya kufeli kwa CDM na Ukawa kwa ujumla jimboni, umeshindwa kabisa kunyumbulika. Hata kuvaa viatu vya mtangulizi wako H. Kagasheki imekuwa mtihani mkubwa kwako, umekwisha na umefeli mheshimiwa.

Hizi ni miongoni mwa ahadi zako 2015; soko kuu, soko la kashai, stand ya mabasi n.k lakini hadi leo hii huna hata jiwe la msingi la mradi wowote kati ya hii, bado tu umebaki kwenye idea (how to start), umekwama. Take off itaanza lini, utamaliza lini, hivi havina majibu tena. Hata ile Bumdeco uliyoandaa hata ukawaita wadau waje wakusaidie kimawazo na ki mbinu nayo leo haikuamini tena, umekwisha, umefeli.

Ukiachia ahadi zako za miradi mikubwa, hata shughuri ndogo ndogo nazo za kijimbo na manispaa zimekushinda, umekwama. Barabara za mjini ni mashimo, mji hauna ruti za mjini, taa za barabarani hazipo, mitalo imeziba, kila kona ni tope na madimbwi mji mzima, n.k. umekwama, umefeli.

Mikutano iliyozuiwa ni ile ya kuongea katika eneo lisilo lako, wewe leo hata kuandaa ile ya jimbo lako ukaongea na wana jimbo wako imekushinda, imebaki ndoto. Sugu kule Mbeya kaongea na wanajimbo wake hivi juzi juzi tu, hivyo wewe kushindwa kuandaa mikutano isiwe tena eti imezuiwa ama unazuiwa bali ni udhaifu wako. Umekwama na umefeli mh.

Labda kuna jingine tusilolijua lakini kwetu sie, kwa vile ilo hatulijui basi tutabaki tunakuona hivyo, na tutaendelea kukuuliza vile vile. Kulikoni mheshimiwa, lile jimbo ambalo ni jimbo lako kwa kuchaguliwa, vipi umemkabidhi nani?
Usilolikua ni usiku wa giza, kabla ya kuhoji na kudai haki timiza kwanza wajibu na kama hutimizi wajibu wewe pia ni kikwazo cha maendeleo, lakini pia siasa za vijembe zilikwisha baada ya uchaguzi na zinasubiliwa kuanzia 2019. Kama unatamani kuona kwa macho basi vuta subra na kama unatamani kusikia basi wafuate wasemaji katika maeneo yao watakweleza kila kitu ili unapokuja kuandika humu usionekane kama unaishi mwezini na huna uwezo wa kupata majibu ya maswali yako. Wakati wewe unahangaika kutafuta majibu mitandaoni wenzako wako mitaani wakipiga kazi kwa manufaa ya umma. Mwisho wa siku maji hayachangamani na mafuta, kila kitu kitakuwa wazi mwisho wa siku. Huwezi kupaka rangi juu ya rangi, lazima ukubali kupoteza muda kuiparua iliyochakaa kisha upake mpya. Imani iliyowatoka wahisani na serikali kwa ujumla juu ya utawala bora na ubadhirifu ndani ya jimbo na manispaa kwa ujumla kuirejesha sio kazi rahisi ila kila kitu kitakaa sawa. Pumzisha akili, timiza wajibu kwa vitendo kama raia na si porojo mitandaoni BMC iko chini ya UKAWA na UKAWA wapo kazini na wanagawana majukumu kwa sababu wanashirikiana vizuri as a team.
 

Attachments

  • 20170226_140406.jpg
    20170226_140406.jpg
    92.3 KB · Views: 41
  • 20170226_140415.jpg
    20170226_140415.jpg
    86.6 KB · Views: 41
  • 20170302_151154.jpg
    20170302_151154.jpg
    82.6 KB · Views: 42
  • 20170302_151242.jpg
    20170302_151242.jpg
    82.1 KB · Views: 46
Sawa..ila 2020 tusimtafute mchawi..maana ingekuwa hayo unayosema angeingia kwenye top 10 ya wabunge walioshinda kwa kishindo..hata sugu kamuacha ujue
Naona umesha bugia mbandule inakuendesha
 
Uliyo sema ni kweli kabisa bk tuliponzwa na vijana wa boda boda sekido tukamsahau mzee mpenda maendeleo hamisi sued kagasheki
Anapenda maendeleo gani?au kuanzisha Kasibante radio ndio maendeleo kwa wana wa bk?
 
Kumbe nawewe ni mtu wa Bukoba aaaha ebu tusaidie kwenye bajeti au kazi ya mbunge kwenye hayo uliyotaja....KAGASHEKI akae tu kula mapato yake ya KEMEBOS baasiii maana alijiuzia ardhi kubwa ya Ijuganyondo
Na mapato ya Kasibante radio
 
mie naona kile kipindi cha 'tunatekeleza' ikiisha mawaziri waende kwa wabunge
 
Kwa huu utendaji kazi na uwajibikaji wako kama bado kuna kitu chama chako kinategemea toka kwako katika kulitetea jimbo ifikapo 2020 basi kimekwisha, umefeli.

Umekuwa "alama" kubwa sana ya kufeli kwa CDM na Ukawa kwa ujumla jimboni, umeshindwa kabisa kunyumbulika. Hata kuvaa viatu vya mtangulizi wako H. Kagasheki imekuwa mtihani mkubwa kwako, umekwisha na umefeli mheshimiwa.

Hizi ni miongoni mwa ahadi zako 2015; soko kuu, soko la kashai, stand ya mabasi n.k lakini hadi leo hii huna hata jiwe la msingi la mradi wowote kati ya hii, bado tu umebaki kwenye idea (how to start), umekwama. Take off itaanza lini, utamaliza lini, hivi havina majibu tena. Hata ile Bumdeco uliyoandaa hata ukawaita wadau waje wakusaidie kimawazo na ki mbinu nayo leo haikuamini tena, umekwisha, umefeli.

Ukiachia ahadi zako za miradi mikubwa, hata shughuri ndogo ndogo nazo za kijimbo na manispaa zimekushinda, umekwama. Barabara za mjini ni mashimo, mji hauna ruti za mjini, taa za barabarani hazipo, mitalo imeziba, kila kona ni tope na madimbwi mji mzima, n.k. umekwama, umefeli.

Mikutano iliyozuiwa ni ile ya kuongea katika eneo lisilo lako, wewe leo hata kuandaa ile ya jimbo lako ukaongea na wana jimbo wako imekushinda, imebaki ndoto. Sugu kule Mbeya kaongea na wanajimbo wake hivi juzi juzi tu, hivyo wewe kushindwa kuandaa mikutano isiwe tena eti imezuiwa ama unazuiwa bali ni udhaifu wako. Umekwama na umefeli mh.

Labda kuna jingine tusilolijua lakini kwetu sie, kwa vile ilo hatulijui basi tutabaki tunakuona hivyo, na tutaendelea kukuuliza vile vile. Kulikoni mheshimiwa, lile jimbo ambalo ni jimbo lako kwa kuchaguliwa, vipi umemkabidhi nani?
Toina magezi iwe,olikitabonaizoba
 
Usilolikua ni usiku wa giza, kabla ya kuhoji na kudai haki timiza kwanza wajibu na kama hutimizi wajibu wewe pia ni kikwazo cha maendeleo, lakini pia siasa za vijembe zilikwisha baada ya uchaguzi na zinasubiliwa kuanzia 2019. Kama unatamani kuona kwa macho basi vuta subra na kama unatamani kusikia basi wafuate wasemaji katika maeneo yao watakweleza kila kitu ili unapokuja kuandika humu usionekane kama unaishi mwezini na huna uwezo wa kupata majibu ya maswali yako. Wakati wewe unahangaika kutafuta majibu mitandaoni wenzako wako mitaani wakipiga kazi kwa manufaa ya umma. Mwisho wa siku maji hayachangamani na mafuta, kila kitu kitakuwa wazi mwisho wa siku. Huwezi kupaka rangi juu ya rangi, lazima ukubali kupoteza muda kuiparua iliyochakaa kisha upake mpya. Imani iliyowatoka wahisani na serikali kwa ujumla juu ya utawala bora na ubadhirifu ndani ya jimbo na manispaa kwa ujumla kuirejesha sio kazi rahisi ila kila kitu kitakaa sawa. Pumzisha akili, timiza wajibu kwa vitendo kama raia na si porojo mitandaoni BMC iko chini ya UKAWA na UKAWA wapo kazini na wanagawana majukumu kwa sababu wanashirikiana vizuri as a team.
Namwona Diwani wangu wa bakoba mwakyoma mdau wa michezo
 
Back
Top Bottom