Lwakatare aizika rasmi M4C

Status
Not open for further replies.
Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine ya kuweza kuwahadaa watanzania.

Hizi ni ndoto mkuu. CDM are smart!! Wanashughulikia kwanza uzushi wenu huu na wakimaliza suala la ugaidi ni lazima liwe agenda kwa M4C!! Subiri vumbi lake, hamtaliweza.
 
Mpaka sasa bado sijaelewa kwanini chadema wanaigeuza kesi binafsi ya Lwakatare na rafiki yake Ludovick kuwa kesi ya chama!!!

Ni kesi ya CDM kwa kuwa siku zote mnapanga na mnataka kuwahadaa umma kuwa CDM ni chama korofi!!! Kwa kutumia hawa mamluki wenu Lwakatare na Ludovick!! I salute CDM kwa action walioitumia!! So shameful!
 
Chama kinayumba sana saivi, hata bungeni si unaona wanavyotukana

Hakika issue ya Lwakatare na jinzi CDM walivyoipangua vizuri with evidence ni lazima huko bungeni hakukaliki!!! Wanabaki kutukana mara mtoto wa mbwa, mara ----y you!! Mara mnanunua magazeti yote kisa umma usifahamu. Yaani na mitandao yote ya simu na simu za kichina taarifa inasonga sana!! Kwa taarifa watanzania asilimia kubwa wanajua hujuma za chama chenu!!!! Hata issue ya Lwakatare haina mashiko hata kidogo, kilichomo akilini mwa watu ni jinsi gani watoto wao watauliwa kwa mateso kisa siasa!! You will pay the price, highly!! Hivi unataka kusema ndungu zake Kibanda au Ulimboka, au Marehemu Mwangosi watakaa watakipigia kura chama kipi mwaka 2015? Shaganzi, wajomba zao, cousins, etc? Underline!!
 
Ni kesi ya CDM kwa kuwa siku zote mnapanga na mnataka kuwahadaa umma kuwa CDM ni chama korofi!!! Kwa kutumia hawa mamluki wenu Lwakatare na Ludovick!! I salute CDM kwa action walioitumia!! So shameful!

Hilo ni jibu lako au jibu rasmi la chadema?
 
Hilo ni jibu lako au jibu rasmi la chadema?

Mkuu ZeMarcopolo, mimi ni member hapa kama wewe na sina any political affiliation. Ila ni muumini mzuri sana wa kuangalia siasa kwa mapana yake. Nilishasema mbunge wangu ni CDM kwa kuwa niliona anafaa, na diwani wangu ni CCM kwa kuwa niliona ananifaa, na Mjumbe ni CCM kwa kuwa niliona ananifaa. Kwa mantiki hii nasema ule ukweli na wala siwakilishi CDM hapa, nasimama kama mimi Zogwale wa ID fake though technically you and me are not fake!!!
 
Kwanini chadema inalazimisha maswala binafsi ya Lwakatare na familia yake kuwa maswala ya kisiasa ya chama?
Not every question deserves an answer, I don't remember the last time I answered silly questions!!!!
 
CDM wapo denial , ukweli ni kwamba ... mvuto ushakwisha
 
hahahahahaha,umepewa shs ngapi leo na Mwigulu?Chadema tuna umoja!!Lwakatare tuko nae,hatumwchi na M4C INAPAMBA MOTO kwa watu wenye akili zetu...wewe ni mbulula kaa na wenzako CCM
 
Hao ni watu waliolaghaiwa...
Easy peasy fellas...cheap talk does not become you...don't generalise everything for hatred...you belittle your stand as a man...everyone has a constitutional right to join any party ...you are fine with CCM, so me got issues with it...

Just try to adjust it in ur medula that at the end of the day...its same oxygen we all breathing...easy gents eeeeeaaaaasssssyyyyyyy!
 
Sikubaliani kwamba suala la Kesi ya Lwakatare limezika M4C. Hoja ya msingi hapa ni kwamba M4C ni mbinu ya mapambano inayotumika na CHADEMA. Kesi ya Lwakatare imefungua uwanja mwingine wa mapambano, lakini kilekile kinachofafanuliwa katika M4C kinaweza kufafanuliwa katika kesi hii na kuleta madhara makubwa kwa CCM, kama CHADEMA watajipanga vizuri, kama vile ambavyo dalili zinaonesha wanajibu mapigo vizuri. kuongea na waandishi wa habari ilikuwa ni mbinu nzuri sana kwa sababu suala la msingi ni kueneza taarifa kwa watu wengi iwezekanavyo. CHADEMA ikifanikiwa kuonesha kwamba CCM au serikali ya CCM au vyombo vya serikali ya CCM vimetumika katika suala la Lwakatare, watakuwa wameua ndege wengi kwa jiwe moja. itakuwa ni banner ambayo itaisaidia sana CHADEMA. lakini kwa bahati nzuri CCM inajipiga yenyewe kwa kuhakikisha kwamba maisha ni magumu kupita kiasi kwa walio wengi. hiyo ni dalili ya mfumo uliopo kushindwa, na dhahiri watanzania watapendelea zaidi mabadiliko kwa gharama zozote
 

Natumia simu ningekugongea like.
 

Jibu Sahihi kwa waJF wasio na details Za nini kinaendelea
 
Maswali ya msingi hayajajibiwa lakini umeridhika!!! Sasa sijui ni kipi kilichokuridhisha lakini nikikumbuka usemi usemao "baunsa hashibi, anatosheka tu" nakumbuka kuwa inawezekana wewe ni "baunsa" uliyeamua kutosheka tu ingawa hujashibishwa.

Sasa tulishakuwa Katika hali hiyo kwa mda mrefu sasa tumepoteza appetite
 

For his information. Is enough said
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…