Lwakatare aizika rasmi M4C

Status
Not open for further replies.

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
7,235
Reaction score
4,343
Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine ya kuweza kuwahadaa watanzania.
 
Mpaka sasa bado sijaelewa kwanini chadema wanaigeuza kesi binafsi ya Lwakatare na rafiki yake Ludovick kuwa kesi ya chama!!!
 
Namsubiri Lukosi Chilisosi aje hapa akuunge mkono. Halafu nyote mnaweza kupiga makofi ya ushindi.
 
Mkuu,
Hii ni kesi ya chama. We angalia mtiririko tu wa events ujue. Lakini wasichojua CCM ni kwamba walipolalia wao Chadema ilishaamkia hapo siku nyingi.

Kiongozi,
Naomba nisaidie kuelewa hii kesi inakuwaje ya chama?
 
Chama kinayumba sana saivi, hata bungeni si unaona wanavyotukana
 
Wengi waliochagia hapa ni walewale wanafiki ambao mpango wao umekwama. Watanzania sio wajinga, wako tofauti na mnavyofikiri, wanaelewa mambo, hawadanganyiki. Shame on you mafisadi
 
Wakuu, sio siri tangu alipokamatwa Mkurugenzi wa usalama wa cdm maanadamano ya cdm kupitia kauli mbiu ya M4C ni kama yamefutika rasmi. Ninawashauri hawa jamaa watafute kauli mbiou nyingine ya kuweza kuwahadaa watanzania.
Pole kwa fikra ya namna hiyo!
 
Mpaka sasa bado sijaelewa kwanini chadema wanaigeuza kesi binafsi ya Lwakatare na rafiki yake Ludovick kuwa kesi ya chama!!!
Ungekuwa Pro-Chadema ingeelewa! Ni muhimu sana kufanya hivyo!
 
CHADEMA chali! Na hukumu ikitoka ikathibitika ni magaidi ndiyo tutawaokotea bonde la msimbazi.

Mkafanye kazi halali kuliko kuja kujificha CHADEMA kwa kivuli cha chama cha Siasa.
 
Mpaka sasa bado sijaelewa kwanini chadema wanaigeuza kesi binafsi ya Lwakatare na rafiki yake Ludovick kuwa kesi ya chama!!!
Wewe na Pasco ni watu wajinga! Kadiri mnavyokazania kusema Chadema imtose ndivyo mnavyowafanya wazidi kumuunga mkono. Unaona sasa kuna mawakili wangapi? Na bado mtashangaa kwa msaada na fedha atakazochangiwa na kupewa!
 
Sasa Mkuu nitoke nje ya mada kidogo niijadili hiyo signature yako,,
hiyo miili anayosema JK ipimwe DNA kutambua jamaa zao then what next??
dah nchi hii ina maajabu sana..
 
Wewe na Pasco ni watu wajinga! Kadiri mnavyokazania kusema Chadema imtose ndivyo mnavyowafanya wazidi kumuunga mkono. Unaona sasa kuna mawakili wangapi? Na bado mtashangaa kwa msaada na fedha atakazochangiwa na kupewa!

Sidhani kama nilichoandika hapo kinaweza kutafsiriwa kuwa nimesema atoswe!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…