AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
- Thread starter
-
- #141
lengo la kurusha maroketi ili ili kuwafukuzia wayahudi kwenye bahari ya mediterenean waiache nchi.jiulize kwanini wanarusha maroketi.
Hayo maroketi kwa miaka yote yanatumika as a way of expressing disatsification.
Maroketi yenyewe ni homemade hayana hata uwezo wa kuangamiza ni symbol ya resistance.
lengo la kurusha maroketi ili ili kuwafukuzia wayahudi kwenye bahari ya mediterenean waiache nchi.
unajua kuwa Torah ni biblia agani la kale? ambayo ilianza kutumika hata kabla ya Yesu au niseme tangu enzi za Musa? usifikiri misingi hii ipo tu kwenye Bible ya wakristo, ipo kwenye Bible ya wayahudi inayoitwa Torah. kwenye biblia ile ya kikristo kama ulishawahi kuiona kuna agano la kale yaani maandiko yote kabla ya yesu, halafu kuna agano jipya maandiko yote baada ya yesu. sasa wayahudi wanayo ile agano la kale kabla ya yesu na ndio ktk wakristo tunaita agano la kale ila wao wanaita torah. hiyo torah ilikuwepo tangu kipindi cha Musa hata kabla mudi saw hajazaliwa.wajua kwamba bible iliwekwa pamoja na kuwa kitabu kimoja enzi ya mfalume costantine na ikawa inakuwa edited enzi za king james?.
Hapa unadhani watu wangeshindwa kweli ku edit na kuweka mambo yao?
hata mimi ningekuwa israel na tunnel imepitia pale kwenye kanisa la pengo kule posta, natandika tu. sasa mnacholalamika ni nini,kumbe mnakubali kuna tunnels,mlitaka waziacheNdo maana israeli kapiga makanisa,kapiga misikiti na kapiga shule za UN,kazi yake ni kuangamiza kila sehemu yenye tunnels zinazomhujumu,hapo hakuna uislam au ukristo,hapa issue ni kama huna nguvu ukamchokoza mwenye nguvu tegemea kichapo kwako wewe,mke wako watoto na kuku period. Yaani kashengo kashai.
Jesus, a great teacher,
considered himself to be the
long-awaited Messiah for the
Jews. He believed that God would
overthrow Rome and bring His
kingdom to earth. In preparation
for this, Jesus taught a message
of unconditional love, tolerance,
and non-judgmental acceptance
of everyone. Alas, Jesus mission
of inaugurating a new earthly
age failed when the Romans
crucified him.
Jesus followers, believing that
God had raised their rabbi from
the dead, continued to meet in
Jerusalem under the leadership
of James, Jesus brother. Their
intention was to await the still-
coming kingdom and continue
observing Jesus brand of
enlightened Judaism. But along
came Saul of Tarsus, who faked a
conversion in order to infiltrate
the church. Peter and James and
others who had actually known
Jesus were suspicious of Saul,
who had never met Jesus.
Then Saul, who started calling
himself Paul, had a stroke of
genius. He artfully combined
traditional Hebrew ideas with
those of pagan Greek philosophy,
creating a new religion that
could appeal to both Jews and
Gentiles. He began preaching that
Jesus was actually God, that
Jesus death was linked to the
Jewish system of sacrifice, that
one could be saved by simply
believing, and that the Mosaic
law was obsolete. Pauls zealous
missionary activity and
persuasive writings took his new
gospel around the Roman
Empire. The Jerusalem Church,
including Peter and James,
disowned Paul as a heretic and
cult leader.
After the destruction of
Jerusalem in A.D. 70, the Jewish
Church lost authority, but the
Gentile Church founded by Paul
increased its influence. One of
Pauls fervent followers wrote the
book of Acts, which gave Paul
legendary status with its glowing
portrayal of him as the hero of
the church. Later, four unknown
writers gathered scraps of
information about Jesus and
wrote books they called
Matthew, Mark, Luke, and
Johnbut Pauls theology,
already dominant in the church,
tainted the writers perspective.
Thus, Pauls religion won out
over Jesus religion.
In short, Paul was a charlatan, an
evangelical huckster who
succeeded in twisting Jesus
message of love into something
Jesus himself would never
recognize. It was Paul, not Jesus,
who originated the Christianity
of today.
ni vizuri umekubali kuwa kipindi cha Yesu wayahudi walikuwa wana exist pale ila walitawaliwa na coloni la warumi. vipi, wapelestina walikuwepo kipindi cha Yesu? jibu ni noooooolakini bado wametawinyika mpaka sasa,hata mwenye google ni mrusi myahudi bado ametawanyikia marekani.
Hayo yalikua maneno ya ezekiel na si mungu kama unavyoamini.
Hata kipindi cha yesu hilo eneo lilikua utumwani mwa warumi na wayahudi wakingojea masiha aje kuwakomboa toka utumwani na kuwa mfalme wao atakaeunganisha waisrael kama taifa.ilikua ni imani ambayo ilibadilishwa ikawa ya kidini wakati haikuwa.yesu alipokuja alidai yeye ndo mfalme wa wayahudi,japo hawakumuamini na hatimae wakamsulubu.
Kabla yesu hajakamatwa aliwambia watu wake kuwa atarudi na kuwa mfalme wao na kuwa katika wale wakimsikiliza atawakuta bado wapo hai na watatawala pamoja.
Sasa kuna wajanja walikuja wakaspin maneno ndo ikawa imezaliwa imani hiyo.
Lakini kinachosemwa ni unabii actualy sio hata unabii.
ndio uone akili za wenzio zilivyo za ajabu. hilo swali kawaulize hamas aisee.lakini gaza si ndo ipo ukingoni mwa mediterania?na maroketi hupigwa kwenda ndani kutokea hapo gaza.
No hilo swali ni kutaka kuonyesha kuwa hukujua geography ya eneo hilo.ndio uone akili za wenzio zilivyo za ajabu. hilo swali kawaulize hamas aisee.
wajua kwamba bible iliwekwa pamoja na kuwa kitabu kimoja enzi ya mfalume costantine na ikawa inakuwa edited enzi za king james?.
Hapa unadhani watu wangeshindwa kweli ku edit na kuweka mambo yao?
my friend, jibu hapo ni raisi tu.Elungata, mbinu ya waislam kuhamia sehemu halafu kuzaliana kama nguruwe (a pig can farrow up to 15 piglets SIJATUKANA) dunia wameistukia! Hakutatokea tena taifa kama INDIA kujigawa kuwa PAKISTANI eti sababu waislam wengi
Wapalestina ni waarabu na wamehamia miaka kama 100 iliyopita
Ukipinga hili hebu nambie, UTAMADUNI WAO NI UPI, LUGHA YAO NI IPI?
Kama hawana kwa nini wasiwekwe katika nchi zingine za kiarabu? NI WALE WALE TU na hakutakuwa na tofauti ni kama kutoka MADINA kwenda MAKA au Buguruni Malapa kwenda Tandika
ISRAEL inaingia zaidi ya mara 700 kwa jumla ya nchi za Kiarabu duniani, why cant you accomodate your fellows in the name of allay (your god)
Upande wa Israel ni TAIFA lenye LUGHA YAKE, DINI YAKE, UTAMADUNI WAKE, TAIFA LAKE, toka enzi na si miaka 100 iliyopita ni maelfu na maelfu ya miaka. Ukiwatoa pale unawapeleka wapi ambapo wana utamaduni, lugha, dini kama yao?
ni vizuri umekubali kuwa kipindi cha Yesu wayahudi walikuwa wana exist pale ila walitawaliwa na coloni la warumi. vipi, wapelestina walikuwepo kipindi cha Yesu? jibu ni noooooo
huo unabii si kweli wala israel hawana mpango wa kubomoa msikiti wa jerusalem.labda aje akae madarakani kiongozi kichaa.my friend, jibu hapo ni raisi tu.
ni kweli wapalestina ni waarabu waliohamia miaka 100 iliyopita ndio maana utamaduni wao, historia yao, lugha yao ni y akiarabu. ukiwa pale israel hakuna hata symbol moja inayoonyesha kuwa eneo lile ni la wapalestina, ila kuna symbol za wayahudi tu kama vile the great wall or mourning ule ukuwa wa hekalu la mfalme suleiman wa israel ambao waliubomoa ukabaki.
pia, hata kama israel inaingia mara 700 ya nchi za waarabu, waarabu hawawezi kukubali kuondoka pale. kwa kifupi ni kwamba wapalestina ni chambo tu na wanawakilisha waislam wote duniani kulinda mji wa jerusalem na hasa temple mount ule msikiti waliojenga juu ya hekalu la suleiman ambapo wanaamini muhamad alishawahi kutembelea napo ni eneo takatifu kwa waislam, hivyo ukiichukua israel yote iwe ya waisrael ni kwamba baadhi ya vifungu vya kwenye kuran vitakuwa havifanyi kazi na maeneo matakatifu ya waislam yatakuwa yamenyang'anywa.
wayahudi kwasasa wana maandalizi kuubomoa ule msikiti, ni jambo linalotarajiwa na inasemekana ndio utakuwa mwisho wa dunia kwasababu ile vita ya dunia itaaanzia hapo, hakuna muislam hata mmoja atakayekubali holy land isiwe part of waislam. vita kubwa sana itakuja na waisrael hawatakuwa na uwezo kuhimili, yaani watazidiwa kwasababu atashuka pia mfalme wa kaskazini (russia) kuwasaidia waarabu watakaokusanyika maelfu kwa maelfu kuishambulia israel. israel italemewa kabisa kwani hata marekani wala nani hatakuwa na uwezo kuwasaidia, isipokuwa Mungu wa Mbinguni atashuka kwa hasira na ghadhabu yake, atawasambaratisha hayo majeshi ya mfalme wa kaskazini(russia) robo tatu watateketea, na majeshi ya waarabu pia watateketezwa kabisa mbili ya tatu. watabaki thuluthi tu.
Je? Mungu atatumia nini kuwaangamiza? Mungu atatumia kila aina ya silaha, mvua za mawe, tetemeko la nchi etc. hayo yameandikwa kwenye Bible na tunayaona yanaenda yakitimia ndio maana tunasema Biblia ni Neno la Mungu lililo hai na la kweli. bible prophecies ni sahihi kabisa na zote zimeshatokea.
hapo ndio uone akili za hamas zilivyo. sasa kama unaona hiyo haiko hivyo unafikiri wanarusha rocket ili iweje? lengo lao kuu ni niniNo hilo swali ni kutaka kuonyesha kuwa hukujua geography ya eneo hilo.
hawawaiti "wayahudi" wanawaita "mayahudi", yeye anaamini wayahudi marekani wamefika 2ml, (hajui kama wemefikia 10mil)....kama wanajadili kitu kizuri, kwanini wawaite mayahudi? yeye atafurai akiitwa "matanzania" au "mapalestina".....kwani lwaitama elimu yake ni ipi, najua yupo pale chuo na kuna miaka fulani tulikuwa tunapishana sana kwenye daladala, na ni mkorofi ajabu hata kwenye daladala anagombana, na juzi tu hapa aligombana na precision air hadi kawekwa ndani..anavuta bange?
Mkuu,
uwezo na mamlaka ya Mungu hayabadiliki kutokana na jinsi binadamu wanavyokosea au kutenda tofauti. Kila imani inatakiwa kuiheshimu imani nyingine si vema kusema Mungu wao ni teja au mvuta bangi kutokana na makosa ya kibinadamu yanayofanywa na watu.
Unataka kusema yule Mungu aliyeruhusu Mtume fulani kuoa mademu wengi na kummega mtoto wa miaka 9 akiitwa Mungu kicheche na mbakaji ni sahihi?
Turudi kwenye Mada iliyotolewa na watu wajadili vizuri, wengine huwa tunapata faida pale watu wanavyotoa points za maana na si kejeli.
palestina na jina la eneo na wakaazi wake ndo wapalestina.
Sawa na jina tanganyika ama tanzania wakazi wake ni watanzania.
Tatizo hapa ni mfano wachaga waliokua wakiishi kenya warudi tanzania na kudai nchi hiyo ni yao pekee.wanyang'anye ardhi wazawa na kuwarundika wazawa kwenye makambi ya wakimbizi,wajenge kuta na kuzuia kila kitu kuingia ama kutoka bila ruhusa yao.
Teh teh teh! Mungu atashuka kwa hasira. Kweli dini ni kilevi. Kwa hayo unayoongea lazima utakuwa umelewa ulevi huo.my friend, jibu hapo ni raisi tu.