AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,898
- Thread starter
-
- #81
whatever the case, you should know that ilishatabiriwa Mungu aliahidi kuwa atawarudishia nchi yao, hivyo hayo yaliyotendeka ni njia tu ambazo Mungu alitumia kutimiza neno lake. Mungu alisema amewatawanya lakini kuna siku atawarudisha na kuwapatia nchi yao na watakaa pale siku zote. nikupe kifungu usome?
ndugu, hapa tunaongelea makosa ya jinai ambayo wayahudi wangeshitakiwa nayo, ndo wao wakasema ni genocide. hatutafuti terminologies, na akija mtu toka nje ndio maana wanatudharau watz kuwa ni mambumbumbu kwasababu huwa hatujadili vitu halisia tunajadili kwa minajiri kama hiyo ya kwako. how can you put israel accountable now kama haujui kosa gani wamefanya, utaendaje kuwashitaki ICC au popote pale? ni kwa kujua aina ya makosa na kwa ufahamu wa lwaitama na yule mwenzie, they were expected kuongea kisomi kama wasomi.
halafu,kama israel wangekuwa na nia ya kuua wapalestina, wangeshaua hata kwa masaaa mawili tu gaza yote ingeshapukutika. gaza ina watu milioni moja na nusu, waliokufa ni alfu mbili kwa mwezi mzima na waliowengi ni kwamba hamas ilikuwa inawatumia kama kinga na wakati huohuo wakirusha rocket israel na kupitia mahandaki kwenda kushambulia israel, ulitaka israel wanyamaze tu? ungekuwa wewe mtu anarusha risasi nyumbani kwako halafu ukitaka kumrudishia anashika kitoto kidogo kama kinga na wakati akiwa ameshika kitoto anaendela kukurushia risasi ungefanyeje....ULIONA yale mahandaki yaliyochimbwa toka gaza hadi israel?....kwa sababu kama hizo ndio maana hata israel haiwezi kushitakiwa kimataifa kwasababu kuna justification kama hizo na dunia nzima wameona. mara ngapi israel wametaka ceasefire lakiini hamas wamekataa? nani mgomvi na kwanini mnapendelea kualumu israel peke yake bila hamas? hamas ni babu zenu?
okay,kumbe uko kidini zaidi.kuhusiana na azimio la balfour, unachotakiwa kujua ni kwamba, ugomvi huu haujaanza leo, ulianza hata kabla ya Yesu kuzaliwa. kipindi wanatoka misri na Musa, Musa alipokufa jangwani aliyepewa kuongoza waisrael kwenda pale walipo ni Joshua na Kaleb. Mungu aliwaambia hawa vijana wawili kuwa mkifika kule muwapige kabisa wale wakazi wa pale na mchukue nchi. wao walipofika pale holy land wakawapiga lakini wakaona kuna wanawake wengine wazuri wakawaacha na wakaingia mkataba na wafalme wa kifilisti kuwa wasiwaue ila wao wafilist wawe chini ya wayahudi na watawatumikia. Mungu alichukia akawatabiria kuwa 'hao mliowaacha watakuwa mwiba kwenu maisha yenu yote". hili lipo kwenye Biblia ukitaka nitakufunulia kifungu.
walipoendelea kuishi pale tangu enzi na enzi hadi kipindi cha mfalme sauli na Daudi, utakumbuka walikuwa wakipigana vita na wafilisti kila wakati. hizo roho za hamas na hezbolah hazijaanza leo. unakumbuka issue ya Daudi na Goliath mfilisi? ndio walikuwa wapelestina hao....tena hata Bible imeeleza kabisa kuwa wafilisti walikuwa wanakaa gaza. goliath alikuwa mtu wa gaza. ila katika yote Mungu aliwapigania waisrael na ataendelea kuwapigania hadi kesho. you will never wipe them out.
hahaha, msikie huyu naye, yaani huyu ndio hata hajui kinachoendelea. what do you mean occupied territory? nchi ambayo inatambuliwa na umoja wa mataifa, ni member wa UN wewe leo unakuja kusema ni occupying state, unafikiri hata siku moja mtakuka kuwaondoa warudi ulaya na marekani? je? palestina inatambuliwa na UN kama nchi? halafu zile tunnel unafikiri kweli ni za resistance au lengo lao ilikuwa ni kuteketeza wayahudi....badala ya kujenga shule na hospitali wao wanajenga tunnels, badala ya kinga raia wao wawawaweka raia mbele kama ngao ili wafe waonewe huruma na dunia na lawama iende kwa waisrael, badala ya kupeleka raia kwenye mahandaki wao wanapeleka silaha kwenye mahandaki...ajabu yake ni kwamba kule israel kuna makazi ya chini rocket zikiwa nyingi raia wanakimbilia chini wanalindwa....umeona tofauti ya terrorists na watu wa kawaida?
Usichanganye imani ya dini na uhalisia wa mambo ardhini.whatever the case, you should know that ilishatabiriwa Mungu aliahidi kuwa atawarudishia nchi yao, hivyo hayo yaliyotendeka ni njia tu ambazo Mungu alitumia kutimiza neno lake. Mungu alisema amewatawanya lakini kuna siku atawarudisha na kuwapatia nchi yao na watakaa pale siku zote. nikupe kifungu usome?
hakuna cha kutabiriwa mkuu ,hii ishu ilisukwa kwa akili sana,walichofanya ni ku manipulate maandiko ili yawe favour kwao.whatever the case, you should know that ilishatabiriwa Mungu aliahidi kuwa atawarudishia nchi yao, hivyo hayo yaliyotendeka ni njia tu ambazo Mungu alitumia kutimiza neno lake. Mungu alisema amewatawanya lakini kuna siku atawarudisha na kuwapatia nchi yao na watakaa pale siku zote. nikupe kifungu usome?
Na hapo ndipo tunapoona uwezo wa kufikiri wa israeli kwamba ni mkubwa,Israeli wanapeleka vitani askali na siyo raia na ndo maana waliouwawa vitani ni askari na sio raia,Zile rockets za hamas kama siyo taaluma ya israeli zingeweza ua watoto na raia wengine kwani nazo zinalenga makazi ya watuvita haina macho inakuaje hamas wameua askari wa israel lakini israel wameua watoto wakati israel wana technology ya kutumia precision attack?.
Wapalestina kuchimba underground tunnels si ndo resistance yenyewe ama hujui kuwa ni occupied territory?.ulitaka walale tu wakati wanaminywa uhuru wao?.
Mkuu hiyo mitandao ni haya kwenye koran tukufu au wameandika wanadamu kwa mitizamo yaoUsiandike km umekalia msalaba ulio na makali.
ZIONIST wamepewa NCHI HIO kimabavu na Waingereza baada tu ya vita kuu ya kwanza ya Dunia.
Unaongelea habari ya umoja wa mataifa! We huna habari umoja huo unakuona wewe mwafrika ni km nyani tu na mzungu ni km mungu wako?
Soma hii barua ya waziri mkuu wa Uingereza KUIGAWA Nchi ya PALESTINA kwa European JEWS bila hiari ya wenye mali.
Foreign Office
November 2nd, 1917
Dear Lord Rothschild,
I have much pleasure in conveying to you, on behalf of His Majesty's Government, the following declaration of sympathy with Jewish Zionist aspirations which has been submitted to, and approved by, the Cabinet.
"His Majesty's Government view with favour the establishment in Palestine of a national home for the Jewish people, and will use their best endeavours to facilitate the achievement of this object, it being clearly understood that nothing shall be done which may prejudice the civil and religious rights of existing non-Jewish communities in Palestine, or the rights and political status enjoyed by Jews in any other country."
I should be grateful if you would bring this declaration to the knowledge of the Zionist Federation.
Yours sincerely,
Arthur James Balfour
Halafu gonga hapa kwa ushahidi zaidi.
Balfour Declaration
Maafrika sijui yatakuja kuamka lini.
Halafu Gonga hapa upate elimu zaidi we mparoko.
History of Palestine and Palestinians
ile ardhi ni ya wayahudi tangu kipindi cha ibrahim, isaka, Yakobo (israel), Daudi hadi kesho. Mungu aliwapa ile ardhi na biblia inao ushahidi huo ambao ni tangible hadi kwenye ulimwengu wa leo hii. Israel is prepared to live with the enemy for life my friend, hawatishiwi nyau. kama una hitaji, nitakupatia hapa historia ya ile ardhi tangu kipindi kabla ya Yesu (ila itabidi nitype na kuiweka pdf kwasababu nitajaza ukurasa).
umeshafika israel? umeshafika westbank? ukiwa kule westbank kuna eneo linaitwa Bethlehen ya Uyahudi (pale ndipo Yesu alipozaliwa) ni eneo ambalo wanakalia wapalestina kwa sasa. kuna eneo pia linaitwa Hebron ambapo Daudi mfalme wa israel alijenga ule mji. ukija Jerusalem, kuta za hekalu alilojenga suleiman mfalme wa israel zipo mpaka leo na ndipo mahali patakatifu kuliko pote kwa wayahudi hii ikijumuisha Temple Mount (ule msikiti uliojengwa na waislam baada ya kuvunja helalu la wayahudi ambalo Yesu alitabiri kuwa litavunjwa vipandevipande). kwa kifupi ile ardhi ilikuwa ni ya waisrael hadi kule juu milima ya golan, hadi jordan isipokuwa waisrael walimwasi Mungu Mungu akawapa adhabu wakatawanyika duniani lakini aliahidi kwenye Biblia kuwa kuna siku atakuja kuwarejesha tena kwenye ardhi yao aliyokuwa amewapa.
Mungu ndiye aliyeumba hii dunia na ndiye mmiliki wa ardhi kuliko hata sisi. hivyo yeye kama mmiliki namba moja akiamua kumpa mtu ardhi hakuna wa kupinga au kutafuta human rights. Mungu alishawapa wayahudi ile ardhi hivyo hata kama kibinadamu tutaona sio sawa lakini Mungu alishawapa. upende usipende ndivyo ilivyo.
dah hivi kwanini waarabu wanawadanganya sana hawa ndgugu zetu? mzee azusa msaidie uyo jamaa aelewe basi.Usiandike km umekalia msalaba ulio na makali.
ZIONIST wamepewa NCHI HIO kimabavu na Waingereza baada tu ya vita kuu ya kwanza ya Dunia.
Unaongelea habari ya umoja wa mataifa! We huna habari umoja huo unakuona wewe mwafrika ni km nyani tu na mzungu ni km mungu wako?
Soma hii barua ya waziri mkuu wa Uingereza KUIGAWA Nchi ya PALESTINA kwa European JEWS bila hiari ya wenye mali.
wapalestina hawajawahi kutumia tunnels kwenda kuua raia wa israel wala kuvamia mashule ya israel.Na hapo ndipo tunapoona uwezo wa kufikiri wa israeli kwamba ni mkubwa,Israeli wanapeleka vitani askali na siyo raia na ndo maana waliouwawa vitani ni askari na sio raia,Zile rockets za hamas kama siyo taaluma ya israeli zingeweza ua watoto na raia wengine kwani nazo zinalenga makazi ya watu
Wakati hamas wanawatumia watoto ili mataifa yawaonee huruma,kama una akili timamu huwezi kuchimba tunnel ya kwenda kumvamia adui yako kwenye maeneo ya shule wanakosoma watoto wako wakati unajua adui yako ana nguvu kuliko wewe.Nadhani ya ngoswe tumwachie ngoswe maana tunalumbana sisi lkn wanaopigana wasipoelewana sisi tutakuwa tunapoteza muda.
kipindi hicho palestine na jew wakiishi kwa amani hapo,ni mpaka hao wazungu wayahudi walipokuja na declaration iliyotaka palestina iwe kwa ajili ya jews na si jamii zingine,ndipo amani ilitoweka hapo.pale waikuwa wanatafuta chanzo au namna gani ya kurudisha islael na palestina wawe kitu kimoja
jamaa wanachaguaga vifungu vinavyokidhi interest zao.Mkuu Mungu wa aina hiyo ni teja, kwa akili ya kawaida unapomzungumzia Mungu maana yake unahubiri Upendo na Amani, sasa huyo Mungu wa Israel naamini atakuwa anavuta BANGI kwa maana anawaruhusu hao jamaa kuhukumu wakat vitabu hivyo vinatukataza kuhukumu, na Mtoa hukumu ni yeye peke yake hajakasimisha madaraka ya kiumbe yeyote. Labda nielimishwe zaidi
Waungwana. mmeshawahi kujiuliza.Mbona Milocevic alipelekwa kushtakiwa THE HAGUE. Kenyatta and co. wa Kenya. Johnson wa Liberia. Ntaganda wa Congo etc
Sijawahi kusikia mtu akitishia kumpeleka Benyamin Netanyahu huko mahala kushtakiwa.
Mnajua ni kwa nini ???????
Bible na kuundwa kwa taifa la israel mwaka 1948 kipi kilianza, kama ni kitu kilichoundwa baada ya vita ya pili ya dunia Bible nayo iliandikwa miaka hiyo na kuongelea taifa la israel?hakuna cha kutabiriwa mkuu ,hii ishu ilisukwa kwa akili sana,walichofanya ni ku manipulate maandiko ili yawe favour kwao.
Hivi hujiulizi kwanini barua ya balifour kuhusu kuanzisha taifa la israel katika palestina aandikiwe Rothchild?.
Unamjua huyo rothchild na ukoo wao walivyo na history chafu?.
Pia jiulize kwanini huyo rothchild mwenyewe hataki kurudi nchi waliyopewa na mungu wao,ameng'ang'ania London?
Nini chanzo cha vita hii mkuu kama wewe ni mfuatiliaji wa habari hizi? wale watoto watatu wa israeli nin i kiliwatokea?wapalestina hawajawahi kutumia tunnels kwenda kuua raia wa israel wala kuvamia mashule ya israel.
Palestina wametumia tunnel kwa kuvusha vyakula na mahitaji muhimu.
Na hata katika vita,palestina wametumia tunnel kuwaibukia askari wa israel na kuwateka ama kupambana nao ,hakuna tukio la wapalestina ama hamas kuibuka toka kwenye mashimo na kuua raia wa israel.
Ila waisrael bila aibu wameua watoto na wamama kwa kuwamwagia mabomu bila kufanya selective attack.