Lusinde na mautani yake bwana!

Lusinde na mautani yake bwana!

Eti wakati yeye mtoto wake wa MWISHO ana miaka 8, mtoto wa Katibu Mkuu wa Chama changu (ambaye haijulikani kama ni wa mwisho) ana umri wa majuma kadhaa. Sasa hapa sijui alikuwa anamaanisha nini? Au kwamba Katibu Mkuu wangu akija kuwa Rais kodi zetu zitatumika kutunza watoto wake wadogo? Kwa maana hiyo Katibu Mkuu wangu anahitaji sana kura yangu ili aje apate ulaji angalau aweze kununulia watoto maziwa? Lusinde bana, wa ajabu sana!!!

watoto wake wakubwa wanaishi Marekani,kwani hujui kuwa alizaa na yule mwanamke anayezuia ndoo isifungwe na anataka alipwe vi bilions kazaaa,
 
Eti wakati yeye mtoto wake wa MWISHO ana miaka 8, mtoto wa Katibu Mkuu wa Chama changu (ambaye haijulikani kama ni wa mwisho) ana umri wa majuma kadhaa. Sasa hapa sijui alikuwa anamaanisha nini? Au kwamba Katibu Mkuu wangu akija kuwa Rais kodi zetu zitatumika kutunza watoto wake wadogo? Kwa maana hiyo Katibu Mkuu wangu anahitaji sana kura yangu ili aje apate ulaji angalau aweze kununulia watoto maziwa? Lusinde bana, wa ajabu sana!!!
Huwezi kupingana na ukweli, unajua Lema mjanja sana aliahidi kujenga hospitali kumbe alijua fedha zilipo. Wacha kelele mpeni fedha yake.
 
Sasa unapinga nini na unakubali nini!! "FIKIRIA PALE AMBAPO HAUNA MAWAZO INAKUAJE" It means huna kitu kichwani na kitendo hicho ni umaskini!!! Unapom-challenge Nyerere lazima ufanye tafakuri ya kutosha!!

Ingekuwa haiwezekani kumchallenge Nyerere mpaka leo vyama vya upinzani visingekuwepo na hata migodi na mambo mengine kibao yangekuwa hayapo! Kuwa huru ndugu yangu!
 
Ila mi nafikiri umaskini wa mawazo ni mzuri sana, fikiria pale ambapo hauna mawazo inakuwaje? Sio kila kitu Nyerere alikuwa sahihi mkuu! Think aloud and independently!
Think ALOUD and INDEPENDENTLY in "line with PRINCIPLES"...Kusema Katibu wa Chama "chake" anahitaji HURUMA ya kura ILI aweze kumtunza mwanaye ni UJINGA. Hatupigi kura kwa HURUMA bali kwa hoja!Hatumchagui mtu ili atunze familia ila ili asaidiane nasi kutatua matatizo yetu!Kutunza familia ni jukumu lake hata kama hatochaguliwa!Mleta mada ameonesha ujuha kwa kudhani kwamba ILI uitunze familia,sharti uwe kiongozi!Kama chama "chake" kinafanya hivyo sina shaka kwa nini nchi hii ni maskini kwa mipango!Wakati mwingine mnapoleta mada,mzilazimishe akili chache zilizomo kuamini kwamba JF kuna watu ambao bado ubongo unafanya kazi kila siku/muda wote!Na nyie mnaoshabikia upumbavu wa namna hii mjue kwamba UKISHIRIKIANA na MWIZI,hata wewe ni mwizi!Pole sana ndugu AVANTI!
 
Hivi haka ka-Lusinde na umri wake katakuwa kalianza NGONO na miaka mingapi? Mbona umri alionao haushabihiani na umri wa mtoto wake wa kwanza?

Kumbe Tanzania bado tunayo SODOMA NA GOMORA yetu!
 
Hivi haka ka-Lusinde na umri wake katakuwa kalianza NGONO na miaka mingapi? Mbona umri alionao haushabihiani na umri wa mtoto wake wa kwanza?

Kumbe Tanzania bado tunayo SODOMA NA GOMORA yetu!

Akina nani wanaletekeza sifa hiyo?
 
Back
Top Bottom