Du, kwa kupoteza hoja bana, hamjambo!
Eti wakati yeye mtoto wake wa MWISHO ana miaka 8, mtoto wa Katibu Mkuu wa Chama changu (ambaye haijulikani kama ni wa mwisho) ana umri wa majuma kadhaa. Sasa hapa sijui alikuwa anamaanisha nini? Au kwamba Katibu Mkuu wangu akija kuwa Rais kodi zetu zitatumika kutunza watoto wake wadogo? Kwa maana hiyo Katibu Mkuu wangu anahitaji sana kura yangu ili aje apate ulaji angalau aweze kununulia watoto maziwa? Lusinde bana, wa ajabu sana!!!
Hivi mkuu wa kaya ana wangapi mpaka sasa?........
Hivi mkuu Avanti na wenzio, mtindo wa ufanyaji kazi huwa ukoje? Huwa jamaa wa Lumumba wanawawekea vocha za bando au huwa wanawapa cash muweke wenyewe? Na posho huwa ni cash baada ya thread kutoka au mna accumulate weekly au monthly? Kuna kodi yoyote huwa mnakatwa katika malipo yenu? Vipi lakini kiuhalisia, roho huwa haziwaumi kushabikia kitu ambacho mnajua kabisa ni pumba?
Mkuu, hivi unaelewa maana hasa ya neno "umaskini wa mawazo" au umejibu kwa sababu unajua neno mawazo?
Hivi mkuu wa kaya ana wangapi mpaka sasa?........
Kwanini wasitumie muda huu kueleza walivyotimiza ahadi lukuki walizawaahidi wa TZ mwaka 2010? Wakianza kuzungumzia mambo binafsi yataibuka mengi
Hivi mkuu wa kaya ana wangapi mpaka sasa?........
Eti wakati yeye mtoto wake wa MWISHO ana miaka 8, mtoto wa Katibu Mkuu wa Chama changu (ambaye haijulikani kama ni wa mwisho) ana umri wa majuma kadhaa. Sasa hapa sijui alikuwa anamaanisha nini? Au kwamba Katibu Mkuu wangu akija kuwa Rais kodi zetu zitatumika kutunza watoto wake wadogo? Kwa maana hiyo Katibu Mkuu wangu anahitaji sana kura yangu ili aje apate ulaji angalau aweze kununulia watoto maziwa? Lusinde bana, wa ajabu sana!!!
Dr Kanjanja ana mtoto mmoja aliyezaa na mchumbae. Wale wengine aliwakataa pamoja na mama yao.
Hivi mkuu Avanti na wenzio, mtindo wa ufanyaji kazi huwa ukoje? Huwa jamaa wa Lumumba wanawawekea vocha za bando au huwa wanawapa cash muweke wenyewe? Na posho huwa ni cash baada ya thread kutoka au mna accumulate weekly au monthly? Kuna kodi yoyote huwa mnakatwa katika malipo yenu? Vipi lakini kiuhalisia, roho huwa haziwaumi kushabikia kitu ambacho mnajua kabisa ni pumba?
Ila mi nafikiri umaskini wa mawazo ni mzuri sana, fikiria pale ambapo hauna mawazo inakuwaje? Sio kila kitu Nyerere alikuwa sahihi mkuu! Think aloud and independently!