Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,868
Hamia Ccm tuDuuiih,,kama ndio hivyo kunahaja gani ya upinzani na vyama Vya upinzani Tanzania?
Aache uongo, Dar majimbo mengi yako upinzani na kunamiradi mingi mikubwa ya serikali inatekelezwa tofauti na huko mtela kwa huyoMtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi.Pale bungeni kuna vikao vya vyama ambapo kwenye kikao cha wabunge wa ccm ndipo tunagawana miradi kwenye majimbo yetu chini ya uongozi wa waziri mkuu, baada ya hapo tunarudi bungeni kupitisha: Livingstone Lusinde@Kampeni za Ubunge#Kinondoni Leo
[HASHTAG]#DARMPYABLOGUPDATES[/HASHTAG]
Halafu huko mtera wana kunywa maji ya madimbwi. Hivi Watanzania bado ni wajinga kiasi hiki hadi wamsikilize class seven zero??AKILI FUPI.
Tanzania ni yetu sote
hapo ndiyo panaopo nikera kwa siasa Za Tanzania, kwani wananchi wote wanakuwa wamepigia upinzani? hawafikirii Kuwa wanawanyima Haki Wengi zaidi ccm waliopiga kura ambazo hazikutosha n.a. za wale ambao hawakupiga kura kwa sababu moja au nyingine?Mtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi.Pale bungeni kuna vikao vya vyama ambapo kwenye kikao cha wabunge wa ccm ndipo tunagawana miradi kwenye majimbo yetu chini ya uongozi wa waziri mkuu, baada ya hapo tunarudi bungeni kupitisha: Livingstone Lusinde@Kampeni za Ubunge#Kinondoni Leo
[HASHTAG]#DARMPYABLOGUPDATES[/HASHTAG]
Sasa mwongo ni mleta mada au Bajaji?Aache uongo, Dar majimbo mengi yko upinzani na kunamiradi mingi mikubwa ya serikali inatekelezwa tofauti na huko mtela kwahuyo mj***nga
Mtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi.Pale bungeni kuna vikao vya vyama ambapo kwenye kikao cha wabunge wa ccm ndipo tunagawana miradi kwenye majimbo yetu chini ya uongozi wa waziri mkuu, baada ya hapo tunarudi bungeni kupitisha: Livingstone Lusinde@Kampeni za Ubunge#Kinondoni Leo
[HASHTAG]#DARMPYABLOGUPDATES[/HASHTAG]
Wewe vipi?? Mbona umesikiliza na kujibu juu!Nimeacha kuwasikiliza watu wa aina hii long ago...
Nadhan ni mida muafaka apishe hiyo nafasiKinachoniuma zaidi ni chama kikuu cha upinzani kukosa meno...Mbowe kuwa serious la si hivyo nchi hii itaangamia.
Tukianza kuongea tutaonekana wanafki,lakini ukweli Mbowe ameishiwa mbinu au ni 'mtu wa system' MBOWE NI ROLE MODEL WANGU KWENYE SIASA NA SIJAWAHI KUMPINGA......ILA KWA HALI INAYOENDELEA NCHINI...MBOWE INATOSHA.Nadhan ni mida muafaka apishe hiyo nafasi