Lusinde: Miradi yote lazima tugawane majimbo ya CCM kwanza chini ya Waziri Mkuu, ya upinzani hatupeleki maendeleo

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,867

Mtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi.

Pale bungeni kuna vikao vya vyama ambapo kwenye kikao cha wabunge waCCM ndipo tunagawana miradi kwenye majimbo yetu chini ya uongozi wa waziri mkuu, baada ya hapo tunarudi bungeni kupitisha:

Livingstone Lusinde Kampeni za Ubunge Kinondoni Leo
 
Mtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi.Pale bungeni kuna vikao vya vyama ambapo kwenye kikao cha wabunge wa ccm ndipo tunagawana miradi kwenye majimbo yetu chini ya uongozi wa waziri mkuu, baada ya hapo tunarudi bungeni kupitisha: Livingstone Lusinde@Kampeni za Ubunge#Kinondoni Leo
[HASHTAG]#DARMPYABLOGUPDATES[/HASHTAG]
Aache uongo, Dar majimbo mengi yako upinzani na kunamiradi mingi mikubwa ya serikali inatekelezwa tofauti na huko mtela kwa huyo
 
Mtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi.Pale bungeni kuna vikao vya vyama ambapo kwenye kikao cha wabunge wa ccm ndipo tunagawana miradi kwenye majimbo yetu chini ya uongozi wa waziri mkuu, baada ya hapo tunarudi bungeni kupitisha: Livingstone Lusinde@Kampeni za Ubunge#Kinondoni Leo
[HASHTAG]#DARMPYABLOGUPDATES[/HASHTAG]
hapo ndiyo panaopo nikera kwa siasa Za Tanzania, kwani wananchi wote wanakuwa wamepigia upinzani? hawafikirii Kuwa wanawanyima Haki Wengi zaidi ccm waliopiga kura ambazo hazikutosha n.a. za wale ambao hawakupiga kura kwa sababu moja au nyingine?
 
Na kukurukakara wapo tu wanasikiliza huu ushuzi wa kina kituktuk cha matairi matatu! Haya bana!
 
Mtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi.Pale bungeni kuna vikao vya vyama ambapo kwenye kikao cha wabunge wa ccm ndipo tunagawana miradi kwenye majimbo yetu chini ya uongozi wa waziri mkuu, baada ya hapo tunarudi bungeni kupitisha: Livingstone Lusinde@Kampeni za Ubunge#Kinondoni Leo
[HASHTAG]#DARMPYABLOGUPDATES[/HASHTAG]

Uzuri wa Lusinde Kibajaji anaongea ukweli wa wanachokifanya huko [HASHTAG]#ccm[/HASHTAG]..
Wengine watakuja wapake pake rangi lakini huyu atawamwagia ukweli wa mambo..
[HASHTAG]#wakeuptanzania[/HASHTAG]
[HASHTAG]#wakeupcall[/HASHTAG]
 
Nadhan ni mida muafaka apishe hiyo nafasi
Tukianza kuongea tutaonekana wanafki,lakini ukweli Mbowe ameishiwa mbinu au ni 'mtu wa system' MBOWE NI ROLE MODEL WANGU KWENYE SIASA NA SIJAWAHI KUMPINGA......ILA KWA HALI INAYOENDELEA NCHINI...MBOWE INATOSHA.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom