Lusinde: Miradi yote lazima tugawane majimbo ya CCM kwanza chini ya waziri mkuu, ya upinzani hatupeleki maendeleo | Page 5 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lusinde: Miradi yote lazima tugawane majimbo ya CCM kwanza chini ya waziri mkuu, ya upinzani hatupeleki maendeleo

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Return Of Undertaker, Feb 7, 2018.

 1. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2018
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,924
  Likes Received: 11,602
  Trophy Points: 280
  Mtulia wakati akiwa upinzani alikosa ushirikiano na Rais na Waziri Mkuu ambao ni chama tawala chenye ilani inayotekelezwa ndio maana matatizo yenu yalikuwa hayatatuliwi.

  Pale bungeni kuna vikao vya vyama ambapo kwenye kikao cha wabunge waCCM ndipo tunagawana miradi kwenye majimbo yetu chini ya uongozi wa waziri mkuu, baada ya hapo tunarudi bungeni kupitisha:

  Livingstone Lusinde Kampeni za Ubunge Kinondoni Leo
   
 2. e

  eddy JF-Expert Member

  #81
  Feb 12, 2018
  Joined: Dec 26, 2007
  Messages: 10,586
  Likes Received: 4,716
  Trophy Points: 280
  Labda kawajengea vilabu kama mwandosya
   
 3. Frey Cosseny

  Frey Cosseny JF-Expert Member

  #82
  Feb 12, 2018
  Joined: Feb 4, 2015
  Messages: 1,705
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Maendeleo yanaenda mtera kwa Kasi kubwa
   
 4. J

  JokaKuu Platinum Member

  #83
  Feb 12, 2018
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 13,453
  Likes Received: 6,481
  Trophy Points: 280
  ..sidhani.

  ..mbona ombaomba toka Dodoma hawapungui Dsm?

  ..huyu Mheshimiwa akashughulikie umasikini jimboni kwake kabla ya kutupigia makelele hapa mjini.
   
 5. c

  chikundi JF-Expert Member

  #84
  Feb 12, 2018
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,218
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Viwepo vipambane hivyo hivyo.
   
 6. c

  chikundi JF-Expert Member

  #85
  Feb 12, 2018
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,218
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Hafai wakati ni mbunge awamu ya pili?
   
 7. c

  chikundi JF-Expert Member

  #86
  Feb 12, 2018
  Joined: Oct 16, 2016
  Messages: 8,218
  Likes Received: 2,252
  Trophy Points: 280
  Lkn uongozi sio wetu wote mpk ugombee na upate .
   
 8. L

  LIMBOMAMBOMA JF-Expert Member

  #87
  Feb 12, 2018
  Joined: Oct 3, 2017
  Messages: 1,301
  Likes Received: 979
  Trophy Points: 280
  yaani serikali ikusanye kodi kwa wote halafu igawe kwa wachache je ni haki? hili ni genge la wahuni aiseeh
   
 9. MWALLA

  MWALLA JF-Expert Member

  #88
  Feb 13, 2018
  Joined: Dec 12, 2006
  Messages: 10,590
  Likes Received: 3,726
  Trophy Points: 280
  Kwani huko kwa wapinzani SIZONJE alipata kura ngapi?
  Mnawaonea waliowapigia kura nyie
   
 10. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #89
  Feb 14, 2018
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 23,642
  Likes Received: 19,857
  Trophy Points: 280
  Huo ndio ukweli mlitaka aseme nini badala ya nyinyi kuchukua hatua
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...