elimu ina umuhim sana katika maisha na maendeleo ya jamii kwa ujumla,mtu yeyote anayedharau elimu anachangia dhambi katika jamii.ignorant &poverty are two compatible sins!!!!mbunge wa mtela ni zao la watu waliokosa elimu kama alivyojishuhudia mwenyewe na michango yake bungeni!!.he's unknowngly advertise his ignorant to public in parliament..!!amegeuka kua comedian na mchekeshaji wa wabunge wenzake bungeni bila kujua.ni vyema akatumia hata uelewa wa kuzaliwa tu kujenga hoja badala ya kua mchekeshaji wa bunge,anawanyima fursa wapiga kura wake katka kuwawakilisha bungeni!!!!tafadhali usiwadhalilishe wapiga kura wako!!!

Lusinde ni aina ya wabunge wote wa ccm walivyo.
Wenye ilo jina wanadhalilika sana.
Lusinde kaongea vizuri sana. Leo wabunge wa UKAWA wameipata fresh
hapo ni propaganda tuHuyo eti ndio mbunge wa CCM wanayeona ana hoja hasa pale serikali inapokabiliwa na mambo mazito. Yeye kwa vile hana uelewa mkuu anadhani anapoachiwa azungumze yeye ni kwa vile anaonekana kuwa ana weza kujibu hoja kumbe ni kwa vile wabunge mahiri na wenye akili timamu hawawezi kukubali kutetea ujinga.
Kwa ujinga wake anasakiziwa na hajitambui kuwa anatoswa, chezea ccm wewe! Kwa kweli Elimu ni kitu muhimu kweli kama huna huwezi jitambua. Hii ni aibu kwa Wananchi wa Mtera na Dodoma nzima kuwa na mwakilishi wa aina hiyo.