Murukulazo
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 574
- 221
Huwa analishwa maneno na wabunge wenzake ndiyo anatapika bungeni.... sasa kwa vile hana akili za kuchambua yaliyo sahihi anaonekana bogus siku zote. Kuna siku alikuwa anachangia wizara fulani sikuumbuki akasema uchumi wetu haukui kwa sababu kwenye noti zetu tumeweka picha ya Twiga...... Nilicheka sana! Kumbe ni Kichwa chake ndani kina utupu, akivaa suti utadhani ni mtu aliyekamilika kumbe....,
Hhahahahaa...kazi kweli kweli,kwa staili ya wabunge kama kibajaji maendeleo tusahau!