Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,272
Hapana nazungumzia John, makamu wa CCM mstaafu. Aliwahi pia kuwa balozi. Hata huyo wa bog naye inaonekana amechungulia madarasa kidogo hata ingawa ni kwa dirishaniMalecela yupi huyu wa blog?
Hapana nazungumzia John, makamu wa CCM mstaafu. Aliwahi pia kuwa balozi. Hata huyo wa bog naye inaonekana amechungulia madarasa kidogo hata ingawa ni kwa dirishaniMalecela yupi huyu wa blog?
Kwa ufupi ni kwamba Kibajaji amechagua ujinga badala ya elimu, na kama tujuavyo elimu ya mjinga ni majungu (hata TOT waliimba hivyo).
ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA MHESHIMIWA LIVINGSTONE LUSINDE
Dah! Nilitaka nishukuru kwamba hakuna mtu ambaye atakuja kumtetea Lusinde maana kilichoongelewa ni ushauri mzuri sana. Sasa wewe hapa unamanisha jamaa asijiendeleze kusoma ama? Hapa sio siasa tu, hata kusoma ni muhimu hasa kwa mtu anayejiita mwakilishi wa wananchi ktk chombo cha kutunga sheria na kuisimamia serikaliTatizo ni nn hasa ni huu ubunge au ndo siasa chafu za uchaguzi ujao
Dah! Nilitaka nishukuru kwamba hakuna mtu ambaye atakuja kumtetea Lusinde maana kilichoongelewa ni ushauri mzuri sana. Sasa wewe hapa unamanisha jamaa asijiendeleze kusoma ama? Hapa sio siasa tu, hata kusoma ni muhimu hasa kwa mtu anayejiita mwakilishi wa wananchi ktk chombo cha kutunga sheria na kuisimamia serikali
Because apart from Prof. Maji Marefu, no other MP that I know is of primary school level like LusindeWhy lusinde and not others.
Tehe! tehe! tehe! hii imetulia mkuuSasa mkuu ukimwajiri buchani kwako kama kg ya nyama ni shs 4560/ mtu akitoa shs 20,000/ sii anaweza kumpa kilo 30 na kila siku ukawa unakula hasara? Huyo anafaa kuzibua vyoo tuu.
Exactly Brother!Because apart from Prof. Maji Marefu, no other MP that I know is of primary school level like Lusinde
Ndiyo maana katika katiba pendekezwa wamesema mtu kuwa mmbunge ni yule anayejua kusoma na kuandika tu, Na hapohapo waziri lazima atokane na wabunge... hivyo inawezekana Kibajaji akawa Waziri mkubwa tu hapa, Tanzania kila siku kuna vituko vinatakiwa viingizwe kwenye Guinness book.Jamani kusoma si mchezo. Ohooo. Acheni jamani. Std 7 inamtosha. Kesho nae utasikia ni waziri.
Hajitambui na waliomzunguka hawamshtui ili achangamkie elimuYule kubwa jinga anakua mwili kichwani hakuna kitu kumejaa upepo kama puto. Bogazi yule.
Huwa analishwa maneno na wabunge wenzake ndiyo anatapika bungeni.... sasa kwa vile hana akili za kuchambua yaliyo sahihi anaonekana bogus siku zote. Kuna siku alikuwa anachangia wizara fulani sikuumbuki akasema uchumi wetu haukui kwa sababu kwenye noti zetu tumeweka picha ya Twiga...... Nilicheka sana! Kumbe ni Kichwa chake ndani kina utupu, akivaa suti utadhani ni mtu aliyekamilika kumbe....,yeye anadhani ujinga sifa kila siku anarudia manno hayo hayo tu ya kufiwa na wazazi ndio akakosa elimu, lakini elimu ya kuporomosha mitusi aliipata na inaonekana alifaulu kwa alama za juu kabisa....stupid ape!
Mbunge wa Mtera ndugu Livingstone Lusinde au Kibajaji amekuwa akisema mara kwa mara kuwa hajasoma kwa sababu wazazi wake walifariki wakati yeye akiwa darasa la nne. Kwa ufupi shule ya Msingi ndiyo ikawa mwisho wa elimu ya Kibajaji.
Mawazo au malalamiko haya ya kibajaji hayana mashiko kwa sasa hivi kwani mtu anaweza kuendelea na elimu hata anapokuwa mtu mzima. Hata hapo bungeni ajaribu kuuliza wabunge wenzake kuhusu swala la elimu kwani kuna wengine wamepata diploma, first degree, Masters na Hata Phd wakiwa bungeni. na labda wametokea kwenye familia zenye matatizo kuliko yeye.
Kibajaji kama angetaka kujiendeleza angeanza kusoma QT (qualification Test) hapo ni mwaka mmoja, ikiwa ni elimu sawa kabisa na ya form one na form two. Baada ya hapo angesoma form 3 na 4 kwa mwaka mmoja. Yaani form one mpaka form 4 angesoma kwa miaka 2 tu. halafu form 5 na form six angesoma kwa mwaka mmoja tu. Labda kama ni kilaza wa kufa mtu. Nafasi anayo yakufanya hivyo. Tangua aingie bungeni mpaka sasa hivi yaani muda wa miaka 5 ungekuta anamalizia mwaka wa 3 chuo kikuu. Na hapa alikuwa na nafasi mbalimbali alizopita kabla ya kuwa mbunge angeweza kujiendeleza.
Kwa ufupi ni kwamba Kibajaji amechagua ujinga badala ya elimu, na kama tujuavyo elimu ya mjinga ni majungu (hata TOT waliimba hivyo).
Hivyo kupitia kibajaji msitegemee kupata hoja za maana za kuendeleza nchi yetu na badala yake atakuwa akiongea majungu, matusi(kama alivyofanya Arumeru Mashariki) na upotoshaji kwa kutojua kama alivyofanya kwenye swala la ESCROW. Wananchi wa Mtera nawapa pole sana kwa kuchagua Mbumbu huyu, awamu hii ya uchaguzi mfikirie mara mbili kabla ya kufanya uwamuzi. Msikubali kuendelea kuchagua mbumbu la kujitakia. Ushauri wangu kwa kibajaji au Livingstone Lusinde kuwa aanze kujiendeleza kwani fursa ipo na aache kulalamika kuwa aliachwa yatima akiwa darasa la nne.
ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA MHESHIMIWA LIVINGSTONE LUSINDE
Because apart from Prof. Maji Marefu, no other MP that I know is of primary school level like Lusinde
Siyo mvivu kusoma bali hajasoma kabisa uelewa wake unafaa kuwa muuza nyama buchani