Alichokizungumza Lusinde ni kitu cha msingi kabisa tunaushabiki wa vitu ambavyo havitusaidii na kuwadanganya wananchi kwa kauli mbiu ambazo hazina maana cha msingi kwa watanzania ni maendeleo hii vita ya kila mtu kutaka kuchomeka vipengele vyake kwenye katiba haitaleta maana yoyote kwenye kile tunachokihitaji na hili suala la katiba mpya linapoteza muelekeo sasa linakuwa jukwaa la kampeni ya uchaguzi w 2015. Hivi wenzangu hizi siasa za kupigania kuingia ikulu na kuendelea kukaa ikulu na sio kuletea wananchi maendeleo zitaisha lini?