Lusinde: Katiba si mwarobaini wa matatizo ya watanzania!

jail

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
477
179
anaponda katiba na maoni ya wapinzani
anadai katiba sio mwarobaini wa matatizo ya watanzania anaendelea kuongea tbc jioni hii
 
wanamtera hatupo sawa serious hivi ilikuwaje mtu unapanga foleni unaenda kumpigia kura LUSINDE we Tanzanians we are nt serious...
 
yani huyu jamaa ni mweupe sana hata busara ya kuongea hana anaongelea maisha ya watu kwake katiba haina maana da bunge letu ni aibu tupu ukiangalia hamna ya maana zaidi ya mipasho vijembe nk kila anayesimama anatukana wapinzani badala ya kuongea mambo ya msingi
 
mi naona huyo lusinde inaonekana hata shulen alifeli ila kutokana na pesa labda ndio wakampitisha coz haiwezekan mtu mwenye akili zake timam hawezi akaongea maneno hayo
 
Alichokizungumza Lusinde ni kitu cha msingi kabisa tunaushabiki wa vitu ambavyo havitusaidii na kuwadanganya wananchi kwa kauli mbiu ambazo hazina maana cha msingi kwa watanzania ni maendeleo hii vita ya kila mtu kutaka kuchomeka vipengele vyake kwenye katiba haitaleta maana yoyote kwenye kile tunachokihitaji na hili suala la katiba mpya linapoteza muelekeo sasa linakuwa jukwaa la kampeni ya uchaguzi w 2015. Hivi wenzangu hizi siasa za kupigania kuingia ikulu na kuendelea kukaa ikulu na sio kuletea wananchi maendeleo zitaisha lini?
 
nape.jpg jana katika mkutano wake kahama mjini katika viwanja vya CDT.katbu mkuu wa ccm alisema: watanzania mnahitaji katiba mpya lakini haitawasaidia chochote na wala haito badirisha maisha yenu. katibu alitolea mfano afrika ya kusini na kenya ambapo wanatumia katiba mpya kuwa haijawasaidia chochote na shida zimeongezeka zaidi.



nionavyo mimi watanzania sio kwamba wanahitaji katiba ili kuwapa unafuu wa maisha, ila ni pamoja na kuwabana mafisadi na majangili wa maliasili zetu.
 
Kama nepi ndio ana mawazo haya basi ni janga la kitaifa........empty kabisa.
 
Niamini labda mleta uzi huu ameongeza chumvi, lakini kama ni kweli huyu kijana kasema maneno haya basi huyu Nape ni chizi tena chizi haswa.
 
Niamini labda mleta uzi huu ameongeza chumvi, lakini kama ni kweli huyu kijana kasema maneno haya basi huyu Nape ni chizi tena chizi haswa.
mkuu amini mie sikuwa nafahamu kama kenya na south afrika kuwa wanayo katiba mpya katibu kwa kutolea mifano hiyo niliamini kuwa sasa watanzania tunajengwa kisaikorojia ili lolote litakalo tokea wala lisiwe geni kwetu.
 
Huyu jamaa msimlaumu kwa kuwa ameshiba hawezi kujua mwenye njaa..ndio kusema yeye ni mtu wa propaganda manake ni mtu wa kahawa..yani mongo....kikubwa amesema ni mtizamo wake na si wa wananchi anaowahutubia..logic
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom