mkuu amini mie sikuwa nafahamu kama kenya na south afrika kuwa wanayo katiba mpya katibu kwa kutolea mifano hiyo niliamini kuwa sasa watanzania tunajengwa kisaikorojia ili lolote litakalo tokea wala lisiwe geni kwetu.Niamini labda mleta uzi huu ameongeza chumvi, lakini kama ni kweli huyu kijana kasema maneno haya basi huyu Nape ni chizi tena chizi haswa.
Hivi huyo mnampa attention bado?
Bado unatembeaga na sumu?