Lusinde Arumeru

Lusinde Arumeru

Mimi ni mpiga kura wa Arumeru Mashariki, Wazee wangu wote hapo duniani, sasa huyu anombewa kura ili apate hela za kutunza familia yao, kwani sisi tuliofiwa tunaishije? Ina maana faraja pekee ni ubunge kwa familia ya sumari? Ovyoo!!. Wanameru tuamkeeee
 
Mkuu Camaraderie, kuwa kichaa sio lazima mpaka mtu aokote makopo!. Mhe. Lusinde ni miongoni mwa watu hawa ambao sio mpaka waokote makopo!.

Ni Lusinde huyu alietoa hoja bungeni kuwa milango ifungwe, watu watwangwane!.

Ila pia alichosema kuhusu Sioi ni kweli, atashindia kura za 'symphathy"!.
niliwahi kusema hivi kuhusu Mhe. Lusinde, I was right!.
 
Back
Top Bottom