Lushoto town ndio hii

Lushoto town ndio hii

unataka itaunisheje
Town ----> Taun ----> Tauni

Tauni ----> Taunisha!

Taunishe! -----> ... itaunishe ------>... itaunisheje?

Huko tuendako hiki kiswahili tutashindwa hata kuja kukitamka!
 
Kwa lodilofa ni kwa kipande gani kwa hapo? Si naskia anaishi huko? Malofa sisi kumbf setu.
 
Juzi kati nimepita hapo kwenye field tour yangu

Nalikumbuka lile baridi mzee,na ile cliff view ya Irente kule wanapaita 'Kwa Mkapa'

Na zile barabara za kwenda Lushoto kutokea Mombo pale chini,ni adventure tosha
 
hata jina umebadilisha maana nakujua wewe kijijini kwetu sambaani unaitwa shakaza mjini unajiita Chakaza;
Ha ha ha umenikumbusha pia Marehemu Eddy Sheggy na wimbo wake Shakaza. Kama una clip yake tupia humu watu wajimwayemwaye mkuu.
 
Back
Top Bottom