Mbona hamuulalamikii? Kule Kusini mwa Afrika (S.A, Lesotho, Swaziland, Botwana) watu wanatembea karibu mwili wote uko nje kaigiza Lupita imekuwa nongwa.
Huyo Dada nilikoma kumuheshimu alipocheza movie inaitwa "twelve years of slave" ambapo alikubali kucheza uhusika ambao msambwanda na matiti na kiasi Fulani papuchi Yake vikadhihirika...
Akapoteza utamaduni wetu wa Africa usasa kusitiri Mali za siri