Lupita Nyongo

sanaa yako inapokuwa imekubalika na watu wa ulimwengu wa kishetani wa hollywood,wakikupa deal za kucheza movie,tegemea kupewa scene za namna hiyo.ila mkwanja wake huwa sio wa kitoto,ni mrefu sana.
 
Tia's proud na vyetu hivi kuna mnigeria mwenye position ya Lupita Hollywood?
Wabogo sisi ni wa kuponda tu, ktk kila mafanikio ya mtu lazima tutafute cha kuongea. Sijui ni umasikini au ni kitu gani. Huwa naona ni mawazo ya kimasikini unapoona kijana mdogo ulompita umri kafanikiwa zaidi yako basi unatafuta cha kujifariji nacho, ie Diamond, hakuna asie ona juhudi zake tangu anaanza, ila alipofanikiwa watu wakaanza ooh freemason!!!
 
Word mkuu tukubali Lupita is on another level
 
Hivi kati ya Mwafrika na Mzungu nani mwenyeutamaduni wa kuvaa nguo....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…