Lupita Nyong'o ameanza kuunyemelea usagaji..


Mzigua90

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2014
Messages
32,863
Points
2,000
Mzigua90

Mzigua90

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2014
32,863 2,000
Hivi utamu wote wa mwanaume huu jamani unaanzaje kukubali kushikwa na mwanamke mwenzio
.
Kifua na misuli ya kiume ikikubananisha kwenye kona na harufu ya kiume mwili wote unasisimkaaaa OMG!!!

Kwenye yale mambo yetu ya 6*6 ndio kabisaaa mimi hoi...

Ahsante mungu kwa kutuletea wanaume
Hapo tu sasa. Kwanza mwanaume ana kitu ambacho ukimuangalia kuna feeling flani unaipata sasa wenzetu wanaipataje kwa wanawake wenzetu?
 
INRI

INRI

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2017
Messages
569
Points
1,000
INRI

INRI

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2017
569 1,000
Truth is wanawake wanawachukia lesbians ila wanawapenda gays. Wanaume wanawakubali lesbians na kuchukia gays. What a balanced paradox
You're very right, any reasons behind?
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
19,903
Points
2,000
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
19,903 2,000
Pengine aliachana na wanaume baada ya kuona mizinguo mingi na stress kama zote!

Wengi wanaoingia kwenye usagaji story huwa ni hizo - kuumizwa!
sidhani kama hiyo ni sahihi labda ndio vile kila mtu na fantasy zake
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
8,608
Points
2,000
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
8,608 2,000
lupita ni mzaliwa wa mexico na kukulia mexico...huo ukenya nyinyi ndio mnaforce sijui mkoje
Nadhani wanarefer origin ya baba yake Governor wa Kisumu County Kenya Dr Peter Anyan'g Nyong'o
 
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Messages
11,719
Points
2,000
Horseshoe Arch

Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Joined Aug 10, 2009
11,719 2,000
Dada yetu ambaye ni role model wa mabinti wengi sana Africa ameanza kutoa boko!

Usiku wa juzi, Lupita ameonekana kushikana shikana kimahaba na msagaji maarufu wa Marekani, Jannele Monae huko kwenye event ya Met Gala.

Huyo Jannele ni msanii wa muziki na muigizaji wa filamu. Umaarufu wake unatokana na kuwahi kujitangaza kuwa ni msagaji na kuweka wazi mahusiano yake na Tessa Thompson (wadau wenzangu wa movies mtakuwa mnamjua huyu mrembo).

Inawezekana wakawa wanatoka kimapenzi au wameamua kutafuta kiki au labda Janelle anamrusha roho ex wake (Tessa) waliomwagana hivi karibuni... Sijui.. But haya mambo haya yaanzaga hivi hivi.

Kama ni kweli Lupita ameanza kuiga tamaduni za Magharibi, Wakenya mtaambia nini watu?
HAYO NI MAMBO YAKE BINAFSI, NA SI SUALA LA KITAIFA!
 
Eyce

Eyce

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2016
Messages
1,349
Points
2,000
Eyce

Eyce

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2016
1,349 2,000
You're very right, any reasons behind?
I 've observed it lakini sijaenda field kupata precise answers. Kama ingekuwa hypothesis ningesema kwa men ni battle of manhood, masculinity, pride nd dominance yaani its disgusting kufikiria kuwa kuna mwanaume yupo dominated by another man like a sisy. Kwa women is just the same sema huku ni feminity. Ila bado nikiifikiria naona kuna so many loop holes na unavyojua ni mwiko kuongelea sexuality in a different manne huku Africa
 
falcon mombasa

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Messages
8,743
Points
2,000
falcon mombasa

falcon mombasa

JF-Expert Member
Joined Mar 5, 2015
8,743 2,000
Nadhani wanarefer origin ya baba yake Governor wa Kisumu County Kenya Dr Peter Anyan'g Nyong'o
lupita ni mlatino...ndiko alikozaliwa na alikokulia...msimshangae akiishi maisha hayo...
 
Darmian

Darmian

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Messages
4,974
Points
2,000
Darmian

Darmian

JF-Expert Member
Joined Oct 1, 2017
4,974 2,000
ila mwanamke kusaga naonaga wala sio ishu...ishu ya mamen kupigana deep tissues
Same as me

Sielewi kabisa inakuaje mwanaume unaingiziwa mpini..it is disgusting
 
NaughtyGuy

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2017
Messages
1,502
Points
2,000
NaughtyGuy

NaughtyGuy

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2017
1,502 2,000
Ndio maana kuna watu wanasema American fame ina gharama yake.. Lazima uwe Mwanajumuiya tu..
Shetani hakupi kitu BURE mlielewe hilo. FAME COMES WITH A PRICE
 
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
11,788
Points
2,000
donlucchese

donlucchese

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2011
11,788 2,000
Huyu si mmexico huyu? Akajinyee mbele
 

Forum statistics

Threads 1,295,960
Members 498,495
Posts 31,229,158
Top