sijui kwa nini chumba cha kulala napenda kiwe na kitanda na TV ya ukutani tu......
Hahahahaha ubaguzi huuUtani huuu noma sanaaaa!! ================= N.B. Huu uzi hauwahusu wale ambao wanamiliki au wamepanga chumba kimoja tuu ambacho wanakitumia kama chumba cha kulala, sebule, jiko, n.k.
Utani huuu noma sanaaaa!!
=================
N.B. Huu uzi hauwahusu wale ambao
wanamiliki au wamepanga chumba kimoja tuu
ambacho wanakitumia kama chumba cha
kulala, sebule, jiko, n.k.
N.B. Huu uzi hauwahusu wale
ambao wanamiliki au
wamepanga chumba kimoja tuu
ambacho wanakitumia kama
chumba cha kulala, sebule, jiko,
n.k.
Nikae kando.
Kule NAMNAANI mbona runinga ndio mhamasishaji mkuu?
Kuna ukweli kabisa, ukiwa huna luninga chumbani unalala mapema, ukiwa nayo chineke, utasubiri Fashion Police saa tano usiku hadi saa sita. Ole wake mtu akuguse wakati Joan Rivers anaongea, lazima utamlambua makofi. Kwa watoto ndio sithubutu hata kugusia kuweka luninga, wanaweza kukesha na top gear.
If you want a good sex life, get the TV out of your bedroom!
It can act as a distracting mechanism sometimes...
Kuna ukweli kabisa, ukiwa huna luninga chumbani unalala mapema, ukiwa nayo chineke, utasubiri Fashion Police saa tano usiku hadi saa sita. Ole wake mtu akuguse wakati Joan Rivers anaongea, lazima utamlambua makofi.
Kwa watoto ndio sithubutu hata kugusia kuweka luninga, wanaweza kukesha na top gear.
inategemea na matumizi ya hiyo luninga humo chumbani mkuu............
wengine huweka kwa matumizi ya kuimarisha pendo na kupata stimu za sex.............
kwa mfano; unawatoto ambao ukikaa sebuleni huwezi kumpakata , kumpapasa , kumkumbatia ile ya kimahaba , kumpetipeti , kumchokoza (romantic teasing) n.k mama yao , ila wewe na mkeo inawalazimu kuangalia baadhi ya vipindi vya tv................ sasa kinyume chake ukiwa na mkeo chumbani pamoja na umuhimu wa kuangalia hivyo vipindi , pia mnaweza kufanya mambo yenu ya mahaba sambamba.
Noma wengine wakiwa hawana luninga chumbani wanalala subuleni kwenye sofa.
Mwisho wanasinzia na kulala fofofo huku TV ikuwa on.