Lundo la Watu lamshangilia Freeman Mbowe Mahakamani , Neno Mwamba latawala

Tutatoboa kweli, muda wa kuzalisha watu “lundo” wako mahakamani wanafuatilia kesi za watu wengine!
 
Roho yangu imefarijika sana baada ya kuiona hiyo Video.
dance.gif
 
Hapa ndio hua mnakosea, mbowe hampaswi kumhusisha sana na watu wa kabila lake

Yeye ni kiongozi wa kitaifa!

Labda kama mna maanisha Chadema = Wachaga

Hapo mtaeleweka

Lakini kuona ajabu mchaga kutoa ushahidi dhidi ya mbowe, ni jambo fikirishi kidogo.
 
Mbowe anakubalika kuliko watesi wake. Vijana msiwe wajinga kiongozi inafaa apitie maisha yenu ajue mambo yenu kimsingi,haya sasa
Mbowe Vs Sa100
Mbowe - Mfanyabiashara maarufu
Sa100 - Mmasijala maarufu
Mbowe - Mkulima mzoefu
Sa100 - Mpishi mzoefu
Mbowe - Anazijua jelazetu
Sa100 - Anazijua ndege tuu
Mbowe - Baba kichwa chafamilia
Sa100 - Mke wanne wamtu
Mbowe - amehaso anazijua
shidazetu
Sa100 - kabebwa kisamama(magu
alisema)
Mbowe - Kaongoza chama
kikamilifu
Sa100 - chama hakieleweki
Mbowe - Anaitaka katiba bora
Sa100 - Alisimamia katiba iliyofeli
Mbowe - Mtanganyika toka uhuru
Sa100 - ........
TUACHE UZUZU TUSIMTESE MTU MUHIMU KWA TAIFA KISA CHUKI BINAFSI NA UROHO WAWATU WACHACHE WAMADARAKA.LINATOKA HADI LIJINGA TENA LICHAGA LINATOA USHAHIDI ILI AFUNGWE KWAJAMBO LAUONGO TENA CHINI YA KIAPO. VERY SILLY.
MBOWE AACHIWE HARAKA BILA MASHARTI YOYOTE.

#HAKI KWA MBOWE HAKI KWA WATZ
Hahha sawa
 
Mh. Mbowe Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema na akutie nguvu katika mambo mengi haya ya kutisha uyayoyapitia...Mipango ya Mwenyezi Mungu si sawa na ya wanadamu, yawezekana anakutumia wewe ili Taifa hili lipate ukombozi wa kweli.

Watanzania tuna imani kubwa mno na wewe.
 
Hakika
 
Hapa ndio hua mnakosea, mbowe hampaswi kumhusisha sana na watu wa kabila lake

Yeye ni kiongozi wa kitaifa!

Labda kama mna maanisha Chadema = Wachaga

Hapo mtaeleweka

Lakini kuona ajabu mchaga kutoa ushahidi dhidi ya mbowe, ni jambo fikirishi kidogo.
Pole kijana mdogo wewe katika yooote akiliyako imefanikiwa kuona hapo tuu!!!
Nikusaidie tu kdogo,popote duniani
* Charity begins at home.
Bora usalitiwe nawote lakini sio na watu wa nyumbani kwako(origin).
 
Back
Top Bottom